Hivi huku ni kujivuna au?

Hivi huku ni kujivuna au?

Humu ukitoa mada zimewagusa wao maisha yao halisi wanajishtukia kama wame pyepyeepyee mbele za wakwe.
Wanasahau jamii zetu unavyotakiwa kuishii watu humu huwaga wanajifanya tu,,,mi nasemea navyoona maana rafiki zake baadhi eti mpaka kaanza kuwasahau majina na anacheza nao mpira hahahah
 
Nikweli -Mbwata zinaanza kulia Kwa hukuuuuiuu [emoji118]
 
Zamani alisalimia kila kila mtu sasa hivi hasalimii anajikweza sijui anaona kamaliza kila kitu. Sasa si angeacha kuwa kusalimia tu toka zamani.

Kwanini ubadilike si watu lazima watakusemaa, zamani alijichanganya na watu sasa hivi sijui anajionaje..

Je, wewe unalo gari? Kama hauna jaribu kununua ili uone kama atakusalimia tena. Ila kila mtu anachagua style yake ya maisha kutokana na mazingira yanavyobadilika.

Huyo nahisi hataki usumbufu wa kuombwa lift.
 
Kuna mkaka kanunua gari used ya kawaida tu lakini kabadilika jamani.

Najiuliza angenunua yale magari mazuri haswa kama Range, BMW, sijui ingekuwaje nahisi angepaa.

Zamani alisalimia kila kila mtu sasa hivi hasalimii anajikweza sijui anaona kamaliza kila kitu. Sasa si angeacha kuwa kusalimia tu toka zamani.

Kwanini ubadilike si watu lazima watakusemaa, zamani alijichanganya na watu sasa hivi sijui anajionaje..

Sitaki kumhukumu aisee huwezi jua yaliyompata. Maana kuna rafiki yangu walikuwa wanaongea sana na kuchangamkiana siku hizi siyaoni hayo kama hamjuii ahahahahah..
Sasa yuko garini ashuke asalimie kila mtu??
 
Kuna Jansenist nakapenda sana kanasema Pata pesa tuijue tabia yako.
 
15875686_1426745194298865_2292163349397372928_n.jpg

Sasa nililie nn mie,vyote ulivyovitaja ninavyo sina cha kulia zaidi ya kumshukuru Allah aliyejuu yetu
 
Nikuambia kitu cha kweli... Sisi binadamu tupo hivi...

Ukiwa na gari...
1. Ukisimamisha kutoa salam watu watongea kwamba umesimamisha makusudi ili uwakoge na kigari chako...

2. Ukipita bila salam watu watongea kwamba siku hizi unaringa na kigari chako...

Cha kufanya wewe pita tu.. Kalipaki alafu kama ukirudi kwa miguu wasalimie...
Na hata ukienda Ku paki na kurudi kwa mguu watasema "si alitupita hapa sasa kaja kutusalimia ya nini" hao watu dawa yao ni Ku mind ur business tu,weww huwezi kuwa kama wao na wao hawawezi kuwa kama wewe" kila Mtu afanye kwa uwezo wake aliojaaliwa siku zote wasengenyeji hawana jema
 
Sawa kabisa... Hapa duniani kila mtu afanya yake...
 
Back
Top Bottom