Eee ahahah kuna kitu umekisema hapa umenikumbusha mbaliii sana hahahahahanhAisee wee mwanamke una kidomo domo kila siku unaropoka jipyaView attachment 471997
Ulianza kujitapa una mume,saiv unaturingishia gari hayatuhusu bibie.uso umekupauka kama make up ya kuazima.
Maneno ya mkosaji, wewe kama Mungu kakunyima basi jua huna tu hakuna haja ya kuonyesha machungu yako kwa matusi badala yake ongeza bidii nawe uendane na kasi ya tuliojaaliwaAisee wee mwanamke una kidomo domo kila siku unaropoka jipyaView attachment 471997
Ulianza kujitapa una mume,saiv unaturingishia gari hayatuhusu bibie.uso umekupauka kama make up ya kuazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe tafuta kazi mpya uone raha yake, acheni majungu na maisha ya watu
Ohoooo!!!Wewe na HR 666 mna akili sawa
Maneno ya mkosaji, wewe kama Mungu kakunyima basi jua huna tu hakuna haja ya kuonyesha machungu yako kwa matusi badala yake ongeza bidii nawe uendane na kasi ya tuliojaaliwa
halafu mnafanana sana!Hilo kikongwe ni jina la batizo la mama yako
Hata wewe nadhani tabia zako zilibadilika baada ya kupiga hatua kadhaa kadhaa na hata aina ya marafiki pia wamebadilika...Wewe ndio umesemaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo tunasema jamaa amenunua "ulimbo", mleta mada soon atanasa [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo hata salam unaweza usitoe ukipata hayo mabadiliko etii?Hata wewe nadhani tabia zako zilibadilika baada ya kupiga hatua kadhaa kadhaa na hata aina ya marafiki pia wamebadilika...
Naweza sema hata ongea, mindoko, mikogo na mikogo imedadilka.. Ndiyo maana ume notice mabaadiliko ya mtu mwingine...
Duh!!!!Aisee wee mwanamke una kidomo domo kila siku unaropoka jipyaView attachment 471997
Ulianza kujitapa una mume,saiv unaturingishia gari hayatuhusu bibie.uso umekupauka kama make up ya kuazima.
Acha kujistukia au unasemwa wewe nini [emoji57]halafu mnafanana sana!
ila pole, samahani, kumradhi, ashakum si matusi, tujifunze kutosengenyana, kumsengenya mwenzio jukwaani kama hapa ni vibaya sana
kuomba samahani ni uugwana!Acha kujistukia au unasemwa wewe nini [emoji57]
Kwani huwezi changia mada mpaka utoe neno la kuudhi
Nikuambia kitu cha kweli... Sisi binadamu tupo hivi...Kwa hiyo hata salam unaweza usitoe ukipata hayo mabadiliko etii?
Kwa hiyo hata salam unaweza usitoe ukipata hayo mabadiliko etii?
Mbona wengine husalimiaa na wana magari haswaaa [emoji23][emoji23]Nikuambia kitu cha kweli... Sisi binadamu tupo hivi...
Ukiwa na gari...
1. Ukisimamisha kutoa salam watu watongea kwamba umesimamisha makusudi ili uwakoge na kigari chako...
2. Ukipita bila salam watu watongea kwamba siku hizi unaringa na kigari chako...
Cha kufanya wewe pita tu.. Kalipaki alafu kama ukirudi kwa miguu wasalimie...
poa ila mi sina hata baiskeli mdogo wangu!Basi pole kwa kusengenywaaa
Wanasahau jamii zetu unavyotakiwa kuishii watu humu huwaga wanajifanya tu,,,mi nasemea navyoona maana rafiki zake baadhi eti mpaka kaanza kuwasahau majina na anacheza nao mpira hahahahKuna watu humu wanajidai wastaarabu kumbe wale wale. Ooh tabia za kiswahili mara wivu,kumbe huko mitaan kwao ndio viongozi wetu kwa haya tunayoyaandika hapa.