Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

Acha upumbavu, nenda kaanzishe vicoba na watu wa huko kwenu mnapotoka, ndo nyie mtaani hamkopesheki mpo mitandaoni kuwaza namna ya kuiba fedha za watu. Sisi tuliopo JF wengi tushajipata kwanza, hatuitaji kucheza vicoba mitandaoni na hata tukitaka tutawatafuta watu kwenye jamii zetu. Tapeli mkubwa wewe
 
Kule Moshi wanacheza Vicobesha kanisani na ni kikobesha chenye ukwasi wa ma.B. yaani ni kikobesha dume kwa TZ kinashika nafasi ya 3.....hata wenye pesa huvikobesha.
Nenda huko Moshi ukacheze sasa, tutolee utapeli wako humu
 
Back
Top Bottom