Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

Wazo Zuri, vipi mtu akifariki mafao anapataje nahatujuani
 
Hongera kwa kuchukua jukumu la kuandika bandiko lenye kujenga.Wazo zuri sana.
 
JamiiForums ikitaka itoke kwenye malengo yake basi ifuate wazo lako.
 
Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
Wewe hapo unatumia ID feki halafu unataka VICOBA. Ukishika hela za wenzio si ndio utahama mazima humu JF
 
Wewe hapo unatumia ID feki halafu unataka VICOBA. Ukishika hela za wenzio si ndio utahama mazima humu JF
Ni wazo tu
Utaratibu utawekwa halafu tutafuata...
 
Humu wanabet tu mkuu we tembelea sana ule uzi wa wazee wa kubet utatoka na kitu
 
Wabongo wamekalia umbea Tu, sidhani kama wataunga mkono wazo lako hili
 
Possible mimi nipo kila mwenye nia aorodheshe hapa..
 
Back
Top Bottom