Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

Kule Moshi wanacheza Vicobesha kanisani na ni kikobesha chenye ukwasi wa ma.B. yaani ni kikobesha dume kwa TZ kinashika nafasi ya 3.....hata wenye pesa huvikobesha.
Moshi kanisa gani hilo?
 
Mie ni bilionea mjomba ninamiliki meli....hili ni wazo tu humu jf watu wa IT waumize vichwa waje na vikobesha tuweke na kutoa kusaidia wenye mahitaji kama wewe karibu.
Yaani hapa tuko kizombizombi na majini ya bandia afu unataka tuchezee hela?? Hela sio kinyesi cha buza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…