MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.