Hivi humu JamiiForums kuna wanawake wenye roho mbaya kama huyu?

Hayo yanatokea ujue, sio dating tu hadi ndoa watu wanafunga ilimradi tu na mtu hayuko moyoni.
That's a pure monkey business! No wonder many relationships are putrid dumps.
Dating for the sake of dating, mapenzi hayatakiwi kuwa hivyo bwana.
 
Wazee wa zamani ndio walianzisha hili balaa, unalazimishwa kuolewa na mtoto wa mzee fulani kwakua tu ni matajiri, au ana tabia njema nk. Matokeo yake sie tulopewa uchaguzi wa kuwa na mnaependana bado tumefumbwa ufahamu na kurudi kule kule.
 
Mhhh She's brutal aisee!
Mimi ninaye mwanamke anaroho mbaya zaidi ya huyo,alishabeba ujauzito wangu alafu kipindi anaujauzito akagongwa na mshkaji wangu,nikamuuliza kwanini umefanya hivyo akaniambia uchi ni wangu na kama unaonea huruma hii takataka uliyoiweka tumboni mwangu nitaitoa,na kweli akaitoa ile mimba
 
Aiseee! Pole sana braza' nahisi wewe ni mpole sana.
 
Back
Top Bottom