MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Namm baada ya kusoma comment yako nafunga uzi sioni haja ya kufungua hiyo videoSijaangalia baada ya kuona ni season
Mhhh She's brutal aisee!Jamani si kasema ukweli? Inaitwa "ya moyoni" [emoji85][emoji85]
Alitakiwa adanganye?Mhhh She's brutal aisee!
She's plain rude....Alitakiwa adanganye?
Ila kavulana kametia huruma masikini hadi nimekahurumia.She's plain rude....
The demeanor of a poor kid will never recover after this
Yaani haka kabinti bado kanakipenda sana hicho kijamaa, lakini kalijipanga kumkomoa!Ila kavulana kametia huruma masikini hadi nimekahurumia.
Hiki kipindi nimekipenda, ngoja nikaangalie vingine.
Nimesoma comments kila mtu anamsimanga binti. Yawezekana pia hampendi kweli.Yaani haka kabinti bado kanakipenda sana hicho kijamaa, lakini kalijipanga kumkomoa!
Mkuu huyu ni wewe yule uliekuwa na avatar ya supra?She's plain rude....
The demeanor of a poor kid will never recover after this
Malcom Lumumba i think...Mkuu huyu ni wewe yule uliekuwa na avatar ya supra?
Nope she's just a mean and conniving hood-rat.Nimesoma comments kila mtu anamsimanga binti. Yawezekana pia hampendi kweli.
Leave these esoteric romantic adventurism to them white worlds,Cant we have this thing hapa Bongo?.😅
Nahisi watu watapigana kwny interviewLeave these esoteric romantic adventurism to them white worlds,
In Africa this will be like throwing a dead cat in a disco.
In other words it's a recipe for a disaster.