Hivi humu JF hamna wachawi?

Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!

Ile kauli ya "nimetoka Kigoma.......kwao sidhani hata panya atabaki" ina maana gani kwako?
 
"Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe Mungu katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako. Unisikie, Ee Bwana, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, Bwana, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie". (1Fal 18:36-37)
simjui huyo
 
Unatutisha?
 
Jinsi wabongo walivyochangamkia hii thread kuliko nyingine zozote inaonesha namna gani uchawi unahusika na maisha ya watanzania wengi!
 
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
Wamejaa hasa ndugu zangu toka Kigoma. Wana masharti yao, mpaka uwachokoze. Ukijaribu watateketeza hadi mende huko kwenu.
 
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!

labda unazungumzia washirikina. wachawi hawaingii jf wao wanakompyuta zao na dunia yao ya kidijitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…