Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #181
Sioi sababu,we niroge mbona unapiga Chenga sana?Wewe pia utakuwa ni mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioi sababu,we niroge mbona unapiga Chenga sana?Wewe pia utakuwa ni mchawi
Sawa,...akili ya wakubwa si hairogeki??akili za watoto bhana
huamini uwepo wa mungu
Mungu wa baali?
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
Kwamba wote tutakwisha itabaki dunia tu!Ile kauli ya "nimetoka Kigoma.......kwao sidhani hata panya atabaki" ina maana gani kwako?
Beelzebuli?simjui huyo
simjui huyo
Unatutisha?"Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe Mungu katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako. Unisikie, Ee Bwana, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, Bwana, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie". (1Fal 18:36-37)
Wameniogopa mkuu tyta!WANAKUJA...
![]()
wako wapi?wanakuja...
![]()
Hakuna lolote!!!!Inabidi uwaombe radhi maana utarogwa kweli ohoo wee tupia cv zako hapo usiposhughulikiwa
aseeeeee!!!cc Kiranga njoo utoe advice huku
ndugu,tusubiri tuone!najua watakuja tuuchawi haupo!!
sumbawanga!!!!!!KATAVI mwenyewe alichemsha hapanipo me mchawi kutoka sumbawanga
Wamejaa hasa ndugu zangu toka Kigoma. Wana masharti yao, mpaka uwachokoze. Ukijaribu watateketeza hadi mende huko kwenu.Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!