Hivi humu JF hamna wachawi?

Hivi humu JF hamna wachawi?

WANAKUJA...
558381_10151363566067482_1765795223_n+%281%29.jpg

Duuh kauchawiwenyewe ndio hivi sasa unafaidagani mbona kamaa maskinisana duuh hiini laana.
 
Hiikitu ushirikina minaanza kuamini sasa kwamba IPO nainanguvu, haiwezekani Wapigwetu, na vijisenti au kibajaji waendelee Ku savaivu mjengoni pamoja na ma scendo yoote hayo kama tokomeza, escrow na mengine mengi,hiimijitu imejigangasana it's impossible.
 
laaaaaaaaaaaanakum!!!!!!
 
Wachawi wapo kama vile akina Mwanadiwani, MSALANI na wengineo wenye tabia kama zao
 
Hahaha mkuu mbona umeivuta sana hii laanakum, kwanza manaake nini na nanindo Huyo lanakumu ni hii mizee ving'ang'anizi au?.
mkuu mnyama k,hii milaaaaaanakum ndio hiyo hiyo mizee mifisadi!!!!
 
Wachawi wapo kama vile akina Mwanadiwani, MSALANI na wengineo wenye tabia kama zao
kumbe mwanadiwani na msalani wanatandika vizuri tunguli?waje mkuu,au ndo wameweka akiba ya 2015?
 
Mchawi sio lazima akuroge,,,hata kuwa na husda na wivu wa maendeleo nao ni uchawi tosha. Kwahiyo hawakosekani hata kidogo
 
Mkuu mankachara kwa hiyo avatar yako Nina hofu wameshakufungia kazi!!
 
Back
Top Bottom