gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Hakuna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi tupo.
WANAKUJA...
![]()
Wachawi tupo.
Unaweza kutusaidia kuroga ili ccm ife kabisa (tunajua haipiti ila tunataka iwe mwisho wake kabisa)
teh teh teh... .. .wacha weee#
Hata wewe unanicheka?
Hiikitu ushirikina minaanza kuamini sasa kwamba IPO nainanguvu, haiwezekani Wapigwetu, na vijisenti au kibajaji waendelee Ku savaivu mjengoni pamoja na ma scendo yoote hayo kama tokomeza, escrow na mengine mengi,hiimijitu imejigangasana it's impossible.
Unaweza kutusaidia kuroga ili ccm ife kabisa (tunajua haipiti ila tunataka iwe mwisho wake kabisa)
Kuna washkaji kama watatu hivi post zao sizielewagi
Simiyu Yetu kazi kwako muonyeshe huyu umahili wako!
Subiri waje jamaa zangu wa sumbawanga wahamishe nyeti zako halafu ndo utakuja kuomba radhi hapa,.. chezea wachawi wewe!
Hahahahaaah.....ID yangu inaelekea kivipi?
Nikuroge ili iweje?
Si kweli...kwenu hizi mambo eti ni balaa!kweli?
Umepiga na kumigia Pombe.ili nisipige kura leo!