Hivi humu JF hamna wachawi?

huu uchawi mbaya wa kuweka kuku kichwani kuna mtu aliwahi kuniambia siku mjoa kuku aligoma kwa masaa kazaa kutoka kichwwani ameshika kwa makucha yake
 
dozi ilikuwa haijakamilika,kwa kawaida uchawi kama huo ili ujue kombora limekubali ni lazima kuku ashuke kwa hiari yake
 
Raha ya uchawi ni pale mtu mwenye masters anapovuliwa nguo zote na kufanyishwa mambo ya hovyo na mtu wa darasa la nne.
 
Mchawi sio paka aloge ndoaitwe mchawi maneno ya mtu yanaweza kuwa uchawi tosha mchawi hapendi maendeleo ya mtu mfano mzuri humu jf mtu anaandika kitu kisichokuwa na ukweli ilmradi akuaribie huo pia ni uchawi coz sifa ya mchawi nikuaribu maisha ya mtu kuwa mabaya utasiskia kunamtu katumbuliwa ukijakufatilia sio humu jf inaezakana kukawa ndio mji wa wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…