Hivi humu JF hamna wachawi?

Na humu inawezekana tumoo hata mia tu maana watu wana id kumi kumii
 
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!

uchawi hautumiki bila sababu, kuna siku nilikuwa nimekaa kitaa na wazee kama 7 ivi tunapiga stori nishatupia vitu vyangu si nikaropoka "me sirogeki" wale wazee waliniangalia alafu wakasema unasemaje kijana nikajibu natania tu.
 
umenivunja mbavu mkuu!!!
 
kuna jamaa mmoja anaitwa majimoto sijui yuko wapi siku hizi,ana thread yake maalumu ya mambo ya ulozi ipo jukwaa la biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…