hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Aiseee wajee na mie nione watakavyokurogaaa
dah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee wajee na mie nione watakavyokurogaaa
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
hawaniwezi mkolaj,wangeshakujaJamaa zangu wa sumbawanga mpo wapi mbona huyu jamaa anajigamba sana humu?, nyofoeni nyeti zake arudi hapa analia
heheheeee waniroge mkuu!Na humu inawezekana tumoo hata mia tu maana watu wana id kumi kumii
hahahahaaaaaaaaaaa!Huyu jamaa anaonekana hayuko sawa kiakili
umenivunja mbavu mkuu!!!uchawi hautumiki bila sababu, kuna siku nilikuwa nimekaa kitaa na wazee kama 7 ivi tunapiga stori nishatupia vitu vyangu si nikaropoka "me sirogeki" wale wazee waliniangalia alafu wakasema unasemaje kijana nikajibu natania tu.
naona katavi anahangaika kweli!ila haniweziNa humu inawezekana tumoo hata mia tu maana watu wana id kumi kumii
naona katavi anahangaika kweli!ila haniwezi
WANAKUJA...
![]()
nitayaletareference/maandiko
usijekuta ndo mwenyewe huyo!Huyu Tyta ndo mwandishi wao wa habari (hapa alikuwa anachukua picha za matukio kwenye shuguli zao)...
ananirogaKatavi anakurogaa au anahangaikiaa ninii??
wacha nikaitafutekuna jamaa mmoja anaitwa majimoto sijui yuko wapi siku hizi,ana thread yake maalumu ya mambo ya ulozi ipo jukwaa la biashara