Hivi humu JF hamna wachawi?

sina uhakika kama unajielewa, me nafikiri kabla ya kuwaza uchawi humu jf ungewaza kwanza kwenye ukoo wako then uku jf utapata jibu kamili kam aujanielewa kuna elimu ya watu wazima wenye mawazo kama yako.
 
Ndoa yako imevunjika?usivurugwe ni kawaida tu,au labda umerogwa!
 
Kwani anasakwa nani?Kuna mchawi wa soka,mapishi,kuongea,viherehere,mbishi,ndumba na mauzauza!Yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…