Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #161
Mkuu taita umesharogwa?huonekani huku!ha ha ha ha ha uwiiiiiiiii hebu acheni kuvunja watu mbavu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu taita umesharogwa?huonekani huku!ha ha ha ha ha uwiiiiiiiii hebu acheni kuvunja watu mbavu jamani
Ndoa yako imevunjika?usivurugwe ni kawaida tu,au labda umerogwa!sina uhakika kama unajielewa, me nafikiri kabla ya kuwaza uchawi humu jf ungewaza kwanza kwenye ukoo wako then uku jf utapata jibu kamili kam aujanielewa kuna elimu ya watu wazima wenye mawazo kama yako.
Natafuta wa kuniroga,hata kama mimi ni mmojawao!Ndio,wa kwanza wewe
Umeanza uoga?Wew mzima kwel mbona waonekana u mchawi kabisa
Ndumba!Kwani anasakwa nani?Kuna mchawi wa soka,mapishi,kuongea,viherehere,mbishi,ndumba na mauzauza!Yupi?
Cc. Majimoto....japo mimi mwenyewe kanikimbia!Siamini uchawi!!!
Siamini uchawi!!!
Na ndiomaana wachawi woote wamenikimbia humu!mbona na wewe ni mchawi
Wacha ayaonehuamini uwepo wa mungu
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
akili za watoto bhanaNa ndiomaana wachawi woote wamenikimbia humu!