Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaa mbavu zangu!!!WANAKUJA...
![]()
na nawasubiri kwa hamu,kama huyo aliyemuweka mkuu tyta!hivi ni mbunge wa wapi?Wachawi wamo humu, kwani wabunge, wakurugenzi siyo mamember humu???
na nawasubiri kwa hamu,kama huyo aliyemuweka mkuu tyta!hivi ni mbunge wa wapi?
sio huyu wa chalinze?Huyu ni mzito kabwela wa kigoma.
nawasubiri mkuuInabidi uwaombe radhi maana utarogwa kweli ohoo wee tupia cv zako hapo usiposhughulikiwa
WANAKUJA...
![]()
nawasubiri mkuu
Kuna thread moja nimeona inadai JF sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
kuna thread moja nimeona inadai jf sasa tuko 195,958!hivi humu wanakosekana wachawi?hebu waniroge nijue kama wapo!
nataka nijue kama we ni mmojawapo mkuuNikuroge ili iweje?
wachawi kwanzaulaaniwe ktk jina la yesu badala ya kuuliza waliompokea yesu unauliza wachawi
nataka nijue kama we ni mmojawapo mkuu
WANAKUJA...
![]()
Huyu ni mzito kabwela wa kigoma.