Andaa passport tuzamie meli.Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Twende kwa Mandela au Ulaya.Dah we ndo umenena sasa
Usiogope wote tuko nyuma ya keyboard.Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Kwanza una wasiwasi gani jiwe mwenyewe yuko bongoo?Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Mko wawili na mleta mada sie wengine tuko mtoni ila sijasema mto gani
Italy ya wapi ? Maana Tanzania maeneo mengi yameigwa majinaMwaka Jana nilikuwa italy
Share nami mkuu😊Twende kwa Mandela au Ulaya.
Maana nina Escape Plan haruki mtu.