Hivi humu Jf ni mimi tu niliyepo bongo?

Hivi humu Jf ni mimi tu niliyepo bongo?

Ukija kwenye usafiri sasaaa, unaweza ukajihisi ni wewee peke ako ndio unapanda daladala humu JF.
 
Mi nipo bongo mkuu

Ila huu mwaka nakuomba member mwenzangu rafiki angu wa karibu baharia mzoefu gh hussa wa meli za masafa marefu niondoee kimagendo ktk hii nchi ya mabalaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuzamie hata Latin America
 
Ni wewe tu,wengine tupo Califonia kama uanelekea Himo international airpot,kabla ya kufika Kisongo.
 
Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Mimi nipo isenzebuya huku kata ya mpyumpyumpyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwwnyewe kesho ninaingia UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Mimi nipo isenzebuya huku kata ya mpyumpyumpyu
Wengi tuu tupo Bongo. Kichwa cha habari kimenifanya nicheke.....🤣🤣🤣🤣
 
Hivi kuwa Ulaya,US ni big deal? Mbona nyuzi nyingi humu tunaambiwa huko maisha magumu sana?!!
 
Back
Top Bottom