Hivi humu Jf ni mimi tu niliyepo bongo?

Hivi humu Jf ni mimi tu niliyepo bongo?

Tupeane maujuzi mkuu tuķatalii hata kwa malkia elizabeth.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia zya kuzamia lazima ujikaze kiume.
Kwenye Sea Escape Plan niliyoandaa zipo 2 kuna Intermediate na Professional.

Kama hujawai kupanda meli inabidi ujaribu kupanda majahazi ya kwenda Mafia au Kipumbwi kwenda Zanzibar.
 
Nipo USA river ya Arusha huku


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom