Mkuu we utafia bongo, wenzako wamekata tamaa wameamua kwenda nje kimawazo!!
Dear kama umeshindwa kwenda physically kwanini asiende mentally ?Wameenda nje kimawazo!!😂😂😂😂😂😂😂😂
This made my 2019 aseee!!!
Dear kama umeshindwa kwenda physically kwanini asiende mentally ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm mwwnyewe kesho ninaingia UKRAINEFaiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Mimi nipo isenzebuya huku kata ya mpyumpyumpyu
Mshukuru Mungu upo daslam, mimi niko Namtumbo huku!
HahaKaribu mie nipo UK a.k.a Uru Kishumundu
Duuh bro hili jina lako nilishtuka sana,Namtumbo maeneo gani?
Namanguli
Mandepwende
Mkongo
Lusewa
Suruti
Mtwara pachani
Rwinga
Mkongo
Lumecha
Litola
N.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh bro hili jina lako nilishtuka sana,
Lol
Wakati nalisoma nilikua nasinzia basi nikashtuka na usingizi ukakata, niliporudia tena kusoma ndio nikaelewa.
Wengi tuu tupo Bongo. Kichwa cha habari kimenifanya nicheke.....🤣🤣🤣🤣Faiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..