Hivi humu JF uliwahi kuletwa uzi na ukapita bila kupingwa?

MPHINGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
518
Reaction score
613
wakuu nina wasiwasi hata swala hili nililo waletea halipiti bila kupingwa
 
Hicho kichwa cha uzi wenyewe ni wa kupingwa kwa nguvu zetu zote.
 
Huku watu tumetofautiana ndio maana karibia kila uzi unapingwa labda wa kifo tu; JF kuna watu wabishi aisee
 
siku staff za jf zikikamatwa Uzi wowote unaowahusu haupigwiii
 
Hili ni jukwaa. Kwahivyo lazima kuwe na mawazo tofauti tofauti.
 
Alipingwa Yesu, ndo common uzi usipingwe!?
Binadamu tuna mitazamo tofauti... Ni lazima kuwepo wanaokubali na wanaopinga hija
 
Humu JF waga kuna kuna watu na akiri zao wanazozijua wao...Kuna wa kupropose uzi, kuna wa kuoppose/kupinga uzi, kuna ambao wao ni wabishi tu pote pote kwenye ukweli na hata kama ni uongo wao wanabisha tu!!... Afu ndo kuna wale ambao wako neutral tu, ani hawaeleweki wako upande gani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…