Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetisha!Uzi wa kifo cha Mwanajamiiforums.
Siku hizi unakawia sana kujibu... ntakutumbua ebooHuku watu tumetofautiana ndio maana karibia kila uzi unapingwa labda wa kifo tu; JF kuna watu wabishi aisee
Hahaha nina sababu yangu maalumu mkuuSiku hizi unakawia sana kujibu... ntakutumbua eboo
Itaje sababu gani hiyo au hujui kama ushajizolea umaarufu?Hahaha nina sababu yangu maalumu mkuu