Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

Wavulana pitieni hapa

 
Single mother yoyote atakwambia "atakaenipenda mimi ampende na kumkubali mwanangu pia", maana yake rahisi ni kwamba nitampa mzigo/s£x kama malipo ili achukue nafasi ya baba mzazi aliekimbia na atoe huduma zote kwangu na kwa mtoto

Tafakari hili chukua mda wa kutosha
Sasa mtu umemkuta na mtoto wake, unataka amkane ndo aolewe?..kwenye sex ni kwamba walio olewa na watoto na walio olewa kabla ya kuzaa wote hutoa "mizigo" kwa waume zao, sasa tuseme nini?????. Kwamba ngono ya singo maza kwa mumewe ni ulinzi wa mtoto wa kufikia????....aliyeolewa bila mtoto akifanya ngono na mumewe huwa anamlinda nani?
 
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara 70 tu na kapata mtoto means ni mzima.kuhusu hoja kwamba kupasha kiporo na baba mzazi ni uongo baba wazazi wengi wamevurugwa hata hawatunzi watoto wamebaki kuhudumiwa na bibi zao mungu ni mwema wanakula na kusoma hakuna tena mapenzi na baba zao mtu akikupenda mpende muheshimu.

Najua mshaelewa kilichonikuta nime fall in love kwa mama fulani maisha yenyewe yanaenda kasi sana miaka kumi nyuma unaona kama juzi tu kumbe umekuwa unahitaji na wewe kufanya vya maana na ukikaa na mke hela unaiona wanawake kwenye kuzungusha hela ni hodari kuliko sisi na siokukimbilia kufunga Harusi.Ndoa sio lazima we vuta wazazi siku hizi waelewa wanajua maisha yamechange hawawezi kukunyima ule raha na mtoto wao sasa hivi tuwape chapuo single mother ni wachapakazi tuwape nafasi.
Hata Australia miaka ya 1980s-90s walikejeliwa. Hii inaitwa labelling, Leo hii single mama ni tatizo lakini gambling sio tatizo. Lakin ukirudi nyuma miaka ya 2005-2013 Tanzania ilikuwa vise versa
 
Mtu mpaka anakuwa single maza kuna sababu kadha wa kadha ikiwemo kutalikiana na kifo cha baba watoto nakadhalika, sasa huku Tz naona imebase kwa walioachwa au kuachana.
Tatizo wadada mnaosema hawajazaa wakiwapiga matukio mnakausha hamji kuwasanua wenzenu huku. Mnaishia kujiua kujidhuru/kuwadhuru.
NA BADO...
 
Ni kanuni gani inayoamua kwamba mwanamume kuoa single mother ni ujinga na upumbavu
Mungu alimuumbia Adamu mke Hawa akiwa bikira na hakuwa single maza

Mungu aliruhusu mimba ya Yesu ibebwe na mwanamke ambaye hakuwa single maza

Amewagiza wanaume waanzishe familia yaani waanze maisha na wanawake ambao hawajazaa
 
Mwanaume yeyote anayeshusha standards ili tu apate mwanamke wa kufanya naye maisha

Mfano anayeoa single maza ameshusha standard ya mwanamke wa kufanya naye maisha

AU mwanaume anayesimp
Oohh kwahiyo kipimo cha ujinga na upumbavu ni kushusha standards zako ili uwe na mtu wa aina fulani kwenye mahusiano, kwamba boss wa kampuni ambaye kaoa single mother ni low value man kuliko kibaka wa mitaani ambaye kaoa mwanamke asiye na mtoto, na kwa mantiki hiyo hata mwanamke ambaye kashusha standards zake ili aolewe na mwanaume fukara na masikini ni low value woman siyo
Nilikuwa na maana kubwa sana kukuliza hivyo
Kwamba jibu la hilo swali lako ndio lingeamua whether single mother anafaa au hafai, kwani baba yangu ni role model wa wanaume wote duniani kiasi cha kumtolea yeye kama mfano, sidhani kama baba yangu kutomkuta mama yangu akiwa single mother ndio sababu tosha inayodhihirisha kuwa single mothers hawafai kuoa
Mungu alimuumbia Adamu mke Hawa akiwa bikira na hakuwa single maza

Mungu aliruhusu mimba ya Yesu ibebwe na mwanamke ambaye hakuwa single maza

Amewagiza wanaume waanzishe familia yaani waanze maisha na wanawake ambao hawajazaa
Sasa unatolea mfano wa hao binadamu wa kwanza kuumbwa ulitaka Hawa atumike na nani haya kwani Adam ndio alikuwa ameshatumika, naye si alikuwa bikira ishu hapa ni kwamba wanaume ndio hamko tayari kujitunza, hata wanawake wote wakisema wajitunze hadi ndoa ninyi mtakosa wa kufanya nao na hamtaweza kuvumilia na kusubiri hadi ndoa

Kwahivyo mtazidi kutafuta mbinu za kuwarubuni ili muendelee kuzini nao na kumbuka wanawake nao ni binadamu siyo malaika, mkishawatumia ukifika wakati mnataka kuoa ndio mnajifanya eti mnatafuta bikira wakati ninyi wenyewe ndio mliozitoa, tunapowaambia kwamba mkitaka bikira basi hakikisheni na ninyi mnakuwa tayari kujitunza muwe mnaelewa sasa

Siyo kila kitu mnaleta ubabe na ubishi wa kipumbavu wakati mwisho wa siku mnaumia wenyewe kwa kukosa aina ya wanawake mnaowataka, kisha wenzenu wakiwaoa mnasema wameshusha standards wala siyo kwamba wameshusha standards, bali wameacha kuishi kwenye fantasies wamekuja kwenye reality yani wameamua kukubaliana na matokeo na uhalisia
 
Back
Top Bottom