Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

new level

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2021
Posts
274
Reaction score
583
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..

2. Nikiwa in public kuja kutoa neno uwa Ni issue Maranyingi nakua kimya tu nasikiliza sijui kujieleza kwakuongea Wala kujitetea ila .. nilishangaa siku niliodakwa me narafiki yangu mmoja na police tukapelekwa kituoni kosa tulipita eneo ambalo Kuna tukio la wizi lilitokea kwenye huo mtaa sasa bila kujua wakawa wanakamata vijana kwakuwaoji .. nilijikuta naongea na hao ma afande kwa ujasiri Tena kwa mtiririko wakujitetea adi wakanielewa sa nikajiuliza kumbe me sio muoga kias iki ! Sasa mbona nikiwa uraiyani nakuwa muoga muoga na mwenye aibu ?

3. Napenda kujifungia ndani nikitoka labda nikienda msalani au kutafuta chakula sipendi kuangaliana nawatu usoni naona aibu .. niliacha kwenda kanisani kwakuwa kinanda cha mahabudu kikipigwa tu najikuta nasikitika nahanza kulia ile Hali yakulialia kanisan iliniboa Sana .. ata nikisikia wimbo mzuri hua najikuta machozi yananilenga pengine adi kulia kabisa hususa nyimbo za rumba zaki Congo nikisikia guitar likinitachi tu naingiwa na uzuni ghafla ..

4 . Nikifika dukani kununua kitu au gengeni muhzaji atakae nikaribisha wakwanza ndie nitakae muunga atakama ana bidhaa ambazo azina quality ninayo itaka

5 . Marafiki zangu unipenda kwakua hua wakiwa nashida ya ushauri hua nawashauri nakuwapa plans ambazo zinakuwa on point Nina marafiki wachache Tena niwale wautotoni awafiki ata 6 ila ndo hao hao ..licha yakua nao Maranyingi hunilaumu Sana maana ata nikiwa na shida hua siwashirikishi ningumu Sana kujua Kama Nina shida mahna mda wote hua na smile tu nikiwa nao ata kuwaomba fedha sipendagi .. ata nikiwa na Ela uwezi jua na ata nikiishiwa pia uwezi kujua .. that's me

6. Ninafanya kazi kwa ndugu for over 10 years now anilipi chochote nakila nikitaka kuacha kazi hua anakua mkali Sana na sijawai kumuambia kua tatizo nikua anilipi naofia kwakuw akuna mtu yoyote anae muamini tofauti yangu ..

7: kipaji changu ni uimbaji nimuandishi mzuri Sana wa nyimbo ila nitakuaje msanii mkubwa akati Nina social anxiet !? Niliwai kwenda studio Producer akaniambia wewe unakipaji kikubwa ila umepoa Sana .. japo unaweza ji switch kidogo ukawa Kama alikiba .. nae hua anahali Kama yakwako ajui kujieleza nimkimya ila ndo kwavile amejikuta yupo on map hua anajikakamua .. labda nawew ujikakamue .

8: Sometimes hua nataman kuoa nibahada yakufanikisha kufungua ka office kangu mahana hua nakafunga funga kwakuwa bado nafanya kazi kwa uyu ndugu yangu pengine nikimuweka mwanamke anaweza ku run vizuri .. Nina ma ex wengi hii nikwakuwa nachagua chagua Sana Dem waku match nae .. kutokana na Hali yangu sipendi drama na napendaga nioe ila mtu yeyote wanyumbani asijue..na kama itashindikana nizalishe na mtu yeyote wa nyumbani asijue .. yan huyo ndo mimi .. napenda Sana vitu vya Siri Siri .

9: Kuna dada yangu mmoja aliwai kuniangalia kwa mda mrefu akaniambia Yani wewe nikisikiaga .. umeuwa au umefanya kitu chochote Cha ajabu sitobisha ilikuwa Ni zaman nilikuwa mdogo sikujua amemaanisha Nini ila iyo kauli hua naikumbuka Sana na adi Sasa naiyelewa ..

10. Nina group moja ya WhatsApp hua wananiita kivuruge Yani hua naongea nachangia mada Yani utadhani siyo Mimi kabisa wengine huniita comedian au mtangazaji ila kwenye real life Yan utaniona nimenywea Yani nakasura kangu kakipole .. adi nilitakaga kuvuta bangi ili nichangamke niwe Kama wengine ila nashukuru sikuile yule mama alikua kasha maliza mzigo wote nilivoondoka sikuwai Tena kurudi .. nanikaachana na ilo wazo . .

Mwisho : sometimes nataka nibadirike sijui Kama nitaweza Kama kunamtu Alikua na Hali Kama yangu aka badilika naomba anisaidie mbinu . . Kwenu wakuu
 
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..
Unasumbuliwa na usumbufu wa usumbukaji
 
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..
Number moja mimi kabisa kumnyima mtu hela siwezagi
 
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..

2. Nikiwa in public kuja kutoa neno uwa Ni issue Maranyingi nakua kimya tu nasikiliza sijui kujieleza kwakuongea Wala kujitetea ila .. nilishangaa siku n
Kwa sababu huo ni ugonjwa upo tayari kulipia gharama za hiyo tiba!?? Itakuchukua siku 90 tu za kukufanya ujiamini hadi utajiona unaweza kugombea ubunge au urais
 
Hauna tatizo Mkuu, Bora wewe unajijua kwamba vitu fulani huwezi nani ukweli ambao wengi wetu hatuukubali, Ukiwa mtulivu ndani yako basi utakua umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko kusikiza kelele zinazotoka nje yako.hivyo upo sawa maana kila mtu huzaliwa na toleo lake la pekee.
 
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..

2
Mkuu kwanini hiyo profile picture..?
 
Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto

1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana feel comfortable kuniomba Mara kwa Mara ..

2. Nikiwa in public kuja kutoa neno uwa Ni issue Maranyingi nakua kimya tu nasikiliza sijui kujieleza kwakuongea Wala kujitetea ila .. nilishangaa siku
Wewe Ni kubwa la Mazezeta
 
Back
Top Bottom