Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

mtu kama ana shida hata kama simjui namsaidia.... kuona mtu anateseka na mimi hela nnayo siwezi lazima nimsaidie... nisipomsaidia roho inaanza kuniuma naanza kumtafuta nimsaidie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera sana.
 
Hauna tatizo Mkuu, Bora wewe unajijua kwamba vitu fulani huwezi nani ukweli ambao wengi wetu hatuukubali, Ukiwa mtulivu ndani yako basi utakua umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko kusikiza kelele zinazotoka nje yako.hivyo upo sawa maana kila mtu huzaliwa na toleo lake la pekee.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Yeah nikweli na hua najikubali Sana ila wengi uniambia naringa Nina kiburi kitu ambacho hua kinanipa stress Sana
 
Hiyo hali ya kisenge sana aisee tunaendana kwa kila kitu ila mimi nimeamua kujichanganya vijiweni nitoe uzwazwa huo maana nimekuwa na huruma ya kisenge mpaka kero nilifikia hatua mtu ananiomba hela na tumeonana mtandaoni hata simjui nampatia alafu harudishi tokea hapo nimeamua kuikimbia hii hali.
 
Bongo bahati nzuri sio bahati mbaya bwana 🤣🤣🤣
 
Hii hali ina faida zake na hasara zake pia. Ila mi naona hasara ni nyingi hasa kma mtu haipendi hiyo hali.
Raha ya iyo hali uwe na fuba,noti,chapaa ,pesaaa. Hapo sawa ila ukiwa hohehahe aisee ndio mwisho huwa wanajinyonga.

Nna hali kama hiyo ila sijafikia viwango hivyo aisee. Mda mwingi napenda kua peke angu ila sio mda wote. Sichagui madem kama wewe ni yeyote tu napita nae, sipendelei saana kuongea na simu unaweza kupiga na nisipokee japo kuna watu special hao lazma nipokee sim zao.

Upole wa hivo ni ukolo, em changamka kidogo.
 
Wewe jamaa ni exotic species. Kwanza ni muongo muongo. Inawezekana vipi unafanya kazi kwa miaka 10 bila kulipwa? Je hizo hela unazoombwa na hao ndugu unatoa wapi? Au unaiba?

Acha uongo wako.
Kuna watu hua nawatungia nyimbo kwaiyo hunilipa mwengine nilimuandikia album alinipa adi mtaji na ndio nikafungua office yangu pia natumiwa na wafnaya biasharaajirani zetu na ninapo fanyia kazi Kama kufwata mzigo kuwaemelea kwaiyo wao hunilipa vizuri tu kwaiyo huaminifu wangu ndio hunifanya nipate deals mbali mbali .. pia ataivyo ndugu siyo wengi na marafiki pia kwaiyo siyo kwamba wananiomba Ela kilasiku na ata nisipokua nazo hua nawahmbia nikipata nitawasaidia .. NB ata nisipo lipwa kila kazi hua inamarupu rupu yake japo Sina mshaara wowote kwenye iyo kazi .. jamaa akinipa Ela Ni kwakujisikia tu ..
 
Hii hali ina faida zake na hasara zake pia. Ila mi naona hasara ni nyingi hasa kma mtu haipendi hiyo hali.
Raha ya iyo hali uwe na fuba,noti,chapaa ,pesaaa. Hapo sawa ila ukiwa hohehahe aisee ndio mwisho huwa wanajinyonga.

Nna hali kama hiyo ila sijafikia viwango hivyo aisee. Mda mwingi napenda kua peke angu ila sio mda wote. Sichagui madem kama wewe ni yeyote tu napita nae, sipendelei saana kuongea na simu unaweza kupiga na nisipokee japo kuna watu special hao lazma nipokee sim zao.

Upole wa hivo ni ukolo, em changamka kidogo.
Chuo ilinisumbua kidogo coz nilikua sina marafiki wengi so kupata materials konki kidogo ilikua ni ishu na msuli wa peke ako chuo kutoboa ni ishu pia.

Ko nilikua najitahidi kuwepo kweny whatsapp group yoyote inahusiana na kozi yangu.
 
Hii hali ina faida zake na hasara zake pia. Ila mi naona hasara ni nyingi hasa kma mtu haipendi hiyo hali.
Raha ya iyo hali uwe na fuba,noti,chapaa ,pesaaa. Hapo sawa ila ukiwa hohehahe aisee ndio mwisho huwa wanajinyonga.

Nna hali kama hiyo ila sijafikia viwango hivyo aisee. Mda mwingi napenda kua peke angu ila sio mda wote. Sichagui madem kama wewe ni yeyote tu napita nae, sipendelei saana kuongea na simu unaweza kupiga na nisipokee japo kuna watu special hao lazma nipokee sim zao.

Upole wa hivo ni ukolo, em changamka kidogo.
Kwahiyo wewe ni msukule wa huyo ndugu yako? Kama una vipaji vingine kwanini usiondoke hapo kwake ili upate muda mwingi wa kufanya shughuli zako?
 
kabla ya yote nakupa "A" ya mwandiko, turudi kwenye mada katika maisha hakuna kitu kigumu kama kuishi nje ya uhalisia wako.
Kama unampa A basi ni kwasababu na wewe ndio wale wale au hujasoma ukaona makosa yake.
 
Back
Top Bottom