Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Poa kabisa.Hauna tatizo Mkuu, Bora wewe unajijua kwamba vitu fulani huwezi nani ukweli ambao wengi wetu hatuukubali, Ukiwa mtulivu ndani yako basi utakua umefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko kusikiza kelele zinazotoka nje yako.hivyo upo sawa maana kila mtu huzaliwa na toleo lake la pekee.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app