Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

huwa simpi mtu buku naanzia buku tano....hata boda boda akiniambia nimpe elfu moja naona kama ndogo namuongezea hata elfu mbili
Mi nmetaja nnachohitaji maana sijala Toka juzi...bora kuomba hiyo buku ukaiona ndogo, ukinipa ningenunua Viazi nikachemsha nkala leo Na kesho kuliko kukuomba buku Tano ya Kula mwezi ukaiona kubwa ukaishia mtini.

Bora kidogo kinachopatikana kuliko kikubwa kinachotamanika
 
Kwahiyo wewe ni msukule wa huyo ndugu yako? Kama una vipaji vingine kwanini usiondoke hapo kwake ili upate muda mwingi wa kufanya shughuli zako?
Siishi kwake nimepanga najitegemea na hua Sina mazoea yakwenda kwake naweza maliza ata mwezi ata 10 Bila kufika kwake labda atakapo niagiza yeye Ni brother Ni first born wetu .. kwaiyo kuacha kazi kwake naona atasumbuka Sana kwaiyo namuonea huruma .. nimefanya kazi nae akiwa Hana ata msingi ila adi Sasa amesha Jenga nyumba nzuri tu . Nafurai kuona maendeleo yake .
 
Acha nyeto mkuu utakuja ufe zipu wazi baada ya kupiga mweleka wa utamu wa nyeto
 
Da'Vinci I need your views here my friend
Kwa maelezo ya huyu mkuu inaonayesha ni Introvert lakini kawa Psychopath naona kuna vipengele tunafanana. Ila chamsingi ajitahidi kujamiiana na wanajamii he's not alone in this world akutane na watu itamsaidia
 
Ingia gym jaza body .. tabia kama yako ukiwa na muonekano wa kimama utachukuliwa poa sana yani kwa kifupi utaonwa fala .. ni ushauri tu ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maelezo ya huyu mkuu inaonayesha ni Introvert lakini kawa Psychopath naona kuna vipengele tunafanana. Ila chamsingi ajitahidi kujamiiana na wanajamii he's not alone in this world akutane na watu itamsaidia
Mkuu naomba maana halisi ya neno 'kujamiiana' kama hutojali .. naona kama halijatumika ipasavyo hapa ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba maana halisi ya neno 'kujamiiana' kama hutojali .. naona kama halijatumika ipasavyo hapa ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Wakati naliandik hap nilifikiria hili pia. Kujmiiana mimi nadhani ni tafsiri halisi ya neno "socializing" kwenye kamusi wanasema socializing kiswahili chake ni Kushirikiana. Lakini mwenyewe kama ulisoma mnambulisho wa maneno utaona kabisa tafsiri sahihi ya socializing ni kujamiiana.

Nionavyo!
Walilitumia hili neno kujamiiana kama tafsiri ya neno sexing ili kupinguza ukali wa maneno. Ila Naamini maana halisi ya socializing sio kushirikiana (Cooperating) bali ni kujamiiana.
Nakubali kukosolewa
 
Hapo nimekupata mkuu, shukrani [emoji120] ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom