Kwa maelezo yako umesema una 24yrs. Sasa ina maana umekuwa ukifanyakazi kwa huyo ndugu yako tangu ukiwa na miaka 12 au 13???
Hii haiingii akilini, but, anyways let me go to the point.
Wewe ni introvert person ambaye anakosa kitu inaitwa self-esteem. Aibu na kutokujiamini ndiyo tatizo lako kubwa.
Kitu kingine huna boundaries na ndiyo maana ukiombwa kitu huwezi kusema "hapana" hata kama hutaki kutoa hicho kitu.
Bwana mdogo una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia na unahitaji msaada. You need counseling, hivyo nakushauri tafuta a professional psychiatrist akufanyie intensive counseling sababu yote uliyoyaeleza yanaviashiria vya mental illness, lakini tatizo lako linatibika.