Hivi huu ulimbukeni wa kumwagiana maji wakati wa "birthday" party ni utamaduni wa wapi?

Hivi huu ulimbukeni wa kumwagiana maji wakati wa "birthday" party ni utamaduni wa wapi?

Wabongo kwanini hatupendi kuheshimu wanachopenda wenzetu. As long as hicho kitu hakikuathiri achana nao. Wamwagiane maji vyovyote vile ni furaha kwao. Mi sijawahi sherekea birthday mpaka umri huu, ila hiyo sio sababu ya kumuita limbukeni atakayeamua kusherekea. Kabla ya kumuita mtu limbukeni jaribu kujiuliza mambo unayofanya yanampendeza kila mmoja?! Au kwa kumwagiana kwao maji imeathiri vipi maisha yako na shughuli zako za kila siku za kujiingizia kipato?!! Stress nyingine huwa za kujitakia asee, Waache wafurahie maisha.
Party yangu, nikualike kwenye party, gharama zangu. Unimwagie MIMAJI. Mama atanizaa twice.
 
Leo ndoo siku yangu ya kuzariwa sitakagi ujinga wakumwagiwa maji wara shelehe mimi niko bize na mambo yangu
 
Ni ubunifu tu mkuu. Nahici shapen nilivyo kuwa ghari na kutopatkana rahc watu wakaunda zao.hahaha wazo tu
 
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
Busara ni kuanza kwa kuuliza ueleweshwe maana na asili ya kitu,
Umeanza kwa kutuka kitendo,usihukumu kabla ya kujua maana
 
Hahaaaa nilimwagia mama HP juzi kati, sikuwahi kumuona bi mkubwa akisirika ila ile Siku daaa
 
Ishapitiwa na wakati hiyo...
Sasa hivi kuna mpya imeingia...

Hiyo ikiwa siku yako ya kuzaliwa kama ni mwanaume unamiminiwa mabusu ya haja na wadada... kama ni mwanamke unamiminiwa mabusu ya haja na wanaume...

cc: mahondaw
 
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
Kwanini ulimbukeni?

Ulimbukeni kwa sababu wanamwagiana hivyo au kwa sababu si utamaduni wetu?

Kama kwa sababu wanamwagiana maji, kumwagiana maji kunakuwaje ulimbukeni?

Kamakwa sababu wameiga, mbona hata birthday nayo tumeiga? Utasema birthday nayoni ulimbukeni?

Mbona hata maandishi unayotumia tumeiga,utasema kuandikahaya maandishi nakoni ulimbukeni?
 
Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
Ushamba tu
 
Back
Top Bottom