Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Siyo kila mtu anaufurahia.It doesnt matter umetoka wapi,...as long as watu wanafurahia....what matters is happiness!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila mtu anaufurahia.It doesnt matter umetoka wapi,...as long as watu wanafurahia....what matters is happiness!
Picha gani mkuuTCRA wamekataza hayo mambo..atakayeweka picha ya aina hiyo insta, cha moto kukiona
Party yangu, nikualike kwenye party, gharama zangu. Unimwagie MIMAJI. Mama atanizaa twice.Wabongo kwanini hatupendi kuheshimu wanachopenda wenzetu. As long as hicho kitu hakikuathiri achana nao. Wamwagiane maji vyovyote vile ni furaha kwao. Mi sijawahi sherekea birthday mpaka umri huu, ila hiyo sio sababu ya kumuita limbukeni atakayeamua kusherekea. Kabla ya kumuita mtu limbukeni jaribu kujiuliza mambo unayofanya yanampendeza kila mmoja?! Au kwa kumwagiana kwao maji imeathiri vipi maisha yako na shughuli zako za kila siku za kujiingizia kipato?!! Stress nyingine huwa za kujitakia asee, Waache wafurahie maisha.
Busara ni kuanza kwa kuuliza ueleweshwe maana na asili ya kitu,Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
alizingua saana aiseeeHahaaa.. Mkuu umenichekesha sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kam unakunywa chai unaweza vunja kikomb sio kwamajib aya [emoji13]Huo ni utamaduni wa huko huko ulipooona mkuu.
Kwanini ulimbukeni?Ivi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).
Heri ya kuzaliwa Mkuu.Leo ndoo siku yangu ya kuzariwa sitakagi ujinga wakumwagiwa maji wara shelehe mimi niko bize na mambo yangu
Ushamba tuIvi hii style ya kumwagina maji mara matope , mara bia , mara soda , wakati wa kushereheka siku ya B.day/kuzaliwa ni nini maana yake na haswa utamaduni huu tumerithi kutoka wapi ? (Ulimbukeni wa tabia ).