Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka faida gani kutoka kwake?Ndugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
Mhuuu Kila mtu anafaida, tatizo tu haujaona eneo la yeye kukunufaishaNdugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
Kwahiyo ukiacha kujitowa kwake utafungwa jela?Sitaki kuelezea in deep lakini jamaa amekuwa selfish sana ila mm kwa upande wangu najitoa sana kwaajili yake
Endelea kujitoa Hadi siku atakapojua kuwa unajitoa sanaSitaki kuelezea in deep lakini jamaa amekuwa selfish sana ila mm kwa upande wangu najitoa sana kwaajili yake
Aishii na hii kabisaaa.Ishi humo mkuu..!!
View attachment 3075174
Sasa si uache kujitoa kwake, simple tu.Sitaki kuelezea in deep lakini jamaa amekuwa selfish sana ila mm kwa upande wangu najitoa sana kwaajili yake
Mpigie simu mwambie umefukuzwa kazi na biashara imefilisika huna kipato hata chakula ni tabu,hii mbinu ilinisaidia kumkimbizaNdugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
Ni mtu mwenye dharau kwani, kama siyo mpe kazi nyingine.Mchizi nipo naye kijiweni namimi ndiye nileyemleta nahana anachokijua kuhusu mishe za kijiweni ila kwasababu ya love niliyokuwa nayo nimeamua kumpa 50% yakile ninachokipata though yeye hana analolijua na kuna Imani inanijia maybe one day atatamani kujifunza hichi tunachokifanya kijiweni lakini cha ajabu Akili yake muda mwingi kwenye hela tu hana anachofikiria kabisa na kibaya zaidi hii mishe tunayofanya ni hatari sana kwa afya sasa cha ajabu hivi juzi kachukua 100% yakazi tuliyofanya tena bila hata ya aibu baada ya kumwambia kwanini umefanya hivi kanijibu short tu"oya nitakupa mwanangu" daah aisee nimechefuka sana.