Hivi huwa mnafanyaje kumkataa rafiki ambaye wewe huna faida naye ila yeye ndio anafaida na wewe?

Hivi huwa mnafanyaje kumkataa rafiki ambaye wewe huna faida naye ila yeye ndio anafaida na wewe?

Mchizi nipo naye kijiweni namimi ndiye nileyemleta nahana anachokijua kuhusu mishe za kijiweni ila kwasababu ya love niliyokuwa nayo nimeamua kumpa 50% yakile ninachokipata though yeye hana analolijua na kuna Imani inanijia maybe one day atatamani kujifunza hichi tunachokifanya kijiweni lakini cha ajabu Akili yake muda mwingi kwenye hela tu hana anachofikiria kabisa na kibaya zaidi hii mishe tunayofanya ni hatari sana kwa afya sasa cha ajabu hivi juzi kachukua 100% yakazi tuliyofanya tena bila hata ya aibu baada ya kumwambia kwanini umefanya hivi kanijibu short tu"oya nitakupa mwanangu" daah aisee nimechefuka sana.
Njoo nikuzabe makofi. Sitakwambia chochote baada ya hapo
 
Back
Top Bottom