Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
he he he ukichaa wa mapenzi huo
Mkiachana unafuta kwa kuweka tatoo ingine juu.
But mtu anapo fanya hivo hana nia kabisa ya kuachana na mpenzi wake...
Ni sawa na wewe kuuliza: wanaume wanafikiria nini kupropose? yaani kile kitendo cha kumtokea mwanamke na kumwambia kua from now on anaona hataki kuhishi bila yeye. what if wakiachana?Sidhani kama kwenye permanent tatoo inawezekana kufuta na kuweka nyingine na ikakaa poa, lakini katika maisha ya kawaida sijui huwa watu wanafikiria nini
Sidhani kama kwenye permanent tatoo inawezekana kufuta na kuweka nyingine na ikakaa poa, lakini katika maisha ya kawaida sijui huwa watu wanafikiria nini
Mkiachana unafuta kwa kuweka tatoo ingine juu.
But mtu anapo fanya hivo hana nia kabisa ya kuachana na mpenzi wake...
usikute kim kardashian naye kaweka tattoo ya yule jamaa yake alimtamliki baada ya siku 72 za ndoa... btw, hivi zile ndoa za mastaa wa majuu huwa zina maana gani kama zinavunjika kiutani utani hivyo?
Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo, na hasikii ingawa masikio anayo, ni bora kumuacha tu.huu ukichaa ni wa aina yake basi