Hivi huwa ni wehu ama

Hivi huwa ni wehu ama

Kitty Galore

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
345
Reaction score
100
Pale inapofikia kuandika jina la mpenzio mwilini mwako tena kwa permanent ink, huwa unakuwa unafikiria nini?
Pale mwanzo unapoingia kwenye mahusiano akili yako yote haifikiri je ikitokea siku uhusiano ukaisha au mwenzio akatangulia mbele ya haki au hata sababu nyingine yeyote itakayokusababisha msiwe pamoja nini madhara yake?
Kilichonipelekea kuandika thread hii, ni pale nilipomuona Heidi Klum na tatoo ya jina la Seal, hii inakaaje wadau?

HeidiKlum-amfAREvent092311-jpg_232136.jpg
 
Ahhh well. . kila mtu anafanya kile kinachompendeza kinapompendeza (haumizi wala haumizwi), muda ukifika wa kujutia atajutia mwenyewe hamna haja ya kumsaidia.
 
Mkiachana unafuta kwa kuweka tatoo ingine juu.
But mtu anapo fanya hivo hana nia kabisa ya kuachana na mpenzi wake...
 
Mkiachana unafuta kwa kuweka tatoo ingine juu.
But mtu anapo fanya hivo hana nia kabisa ya kuachana na mpenzi wake...

Sidhani kama kwenye permanent tatoo inawezekana kufuta na kuweka nyingine na ikakaa poa, lakini katika maisha ya kawaida sijui huwa watu wanafikiria nini
 
Sidhani kama kwenye permanent tatoo inawezekana kufuta na kuweka nyingine na ikakaa poa, lakini katika maisha ya kawaida sijui huwa watu wanafikiria nini
Ni sawa na wewe kuuliza: wanaume wanafikiria nini kupropose? yaani kile kitendo cha kumtokea mwanamke na kumwambia kua from now on anaona hataki kuhishi bila yeye. what if wakiachana?
The same way, mwanamke au mwanaume anaweza kuamini kua huyu ni mpenzi wake wa msiwho, na kwa kusisitiza kua anamaanisha he/she engraves it in his/her own flesh. Ni alama ya mapenzi ambayo hayata kaa yafutike (even in the unlikely event of a separation).
Alafu maneno hua yanaandikwa in single lines, mara nyingi hawa'jazi'. and when you want to delete it unaweka tatoo yenye mijazo.
images
 
Siku hizi kwa wenye pesa wala sio kazi kuziondoa, kuna utaalam wa kutumia laser unazitoa hizo. Tabu kwa masharobaro wa kwetu.
 
Sidhani kama kwenye permanent tatoo inawezekana kufuta na kuweka nyingine na ikakaa poa, lakini katika maisha ya kawaida sijui huwa watu wanafikiria nini

Laser inafuta. . .
Pesa yako tu.
 
Kwa hiyo ndugu unatushauri tunapoingia kwenye uhusiano tukae kimachale machale kusikilizia siku na saa ya kuachana ikitokea!?
 
Mfano kama alikua anaitwa Jovine mkaachana ua next boyfrend's name shud also b Jovine..
 
mmmmmh, umri unahusu
na hii sura inayoomba msamaha tatoo ataichoraje?
Labda wanifunge kwenye kile kibao wanachotumia kudarizi nguo.
 
Mkiachana unafuta kwa kuweka tatoo ingine juu.
But mtu anapo fanya hivo hana nia kabisa ya kuachana na mpenzi wake...

usikute kim kardashian naye kaweka tattoo ya yule jamaa yake alimtamliki baada ya siku 72 za ndoa... btw, hivi zile ndoa za mastaa wa majuu huwa zina maana gani kama zinavunjika kiutani utani hivyo?
 
kuna msichana aliweka nikimuuliza kama anaipenda,anadai ni utoto ila hajutii kuwanayo.
 
usikute kim kardashian naye kaweka tattoo ya yule jamaa yake alimtamliki baada ya siku 72 za ndoa... btw, hivi zile ndoa za mastaa wa majuu huwa zina maana gani kama zinavunjika kiutani utani hivyo?

Publicity na mshiko.
Hua wanatengeneza pesa nyingi sana kwenye kuuza picha za harusi na story za kuachana
 
chezeya mpingo ee, heidi kakolea kwa yule jamaa anazaa kama mwafrika, sasa hivi ana watoto watatu nae na wa kwake wa nne,
Mungu amsaidie afe nae, yaani wale wanapendana sana
 
Like all animals, man(binadamu) pia wana intinct ya ku display. Some animals do courtship dance. some display like peakock,some fight it out before sucumbing and yet MAN just like an animal displays by burning a tatoo, dressing up nicely while you dont need any when matting, adorning with jewels and nice perfumes. Thats what we are. YES. Animals.
 
Back
Top Bottom