Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Pale inapofikia kuandika jina la mpenzio mwilini mwako tena kwa permanent ink, huwa unakuwa unafikiria nini?
Pale mwanzo unapoingia kwenye mahusiano akili yako yote haifikiri je ikitokea siku uhusiano ukaisha au mwenzio akatangulia mbele ya haki au hata sababu nyingine yeyote itakayokusababisha msiwe pamoja nini madhara yake?
Kilichonipelekea kuandika thread hii, ni pale nilipomuona Heidi Klum na tatoo ya jina la Seal, hii inakaaje wadau?