Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Hahaha hahahahah kikao na halmashauri ya kichwa
 
Loh bila kujua umepoteza kitu kikubwa kweli seeing into future through time consciousness, changamoto za maisha na mengineyo yamefisha hiyo nguvu japo bado una nafasi ya kuretrieve
 
Hahaha hahahahah kikao na halmashauri ya kichwa
Halafu hao wajumbe sasa...! Ndio maana kuna baadhi ya watu hutengeneza uhalisia kwenye miili yao na kuona kabisa wanajadiliana jambo na watu wasioonekana
 
DEVINE... jongea huku tafadhali
I meant devine... sijui kwanini linakuja na upper characters
 
There are things in life that are very difficult to explain-signature ya mmoja wa member maarufu wa Jf (nimemsahau)
 
There are things in life that are very difficult to explain-signature ya mmoja wa member maarufu wa Jf (nimemsahau)
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Wonderful, nimejifunza jambo hapa
 
Najiongelesha kwenye lengo ambalo nataka nilifikie kwa ustawi wa maisha yangu.....kushindwa kuje baadae kulingana na kiasi cha changamoto... sitaki kujiongelesha kushindwa....
 
Najiongelesha kwenye lengo ambalo nataka nilifikie kwa ustawi wa maisha yangu.....kushindwa kuje baadae kulingana na kiasi cha changamoto... sitaki kujiongelesha kushindwa....
Sawa sasa unajiongelesha na nani?
 

Yaani...

Linda sana moyo wako kuliko kile ulindacho

Kimjazacho mtu ndicho kimtokacho

Mawazo ya mtu humfanya jinsi alivyo.....yote hayo ni maneno ya Mungu kwa wale waaminio biblia...
 
Proverbs 4:23 - Keep thy heart with all diligence; for out of it [are] the issues of life.

Philippians 4:6-7 - Be careful for nothing; but in every thing by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known unto God. (Read More...)

Romans 12:2 - And be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what [is] that good, and acceptable, and perfect, will of God.

Psalms 51:10 - Create in me a clean heart, O God; and renew a right spirit within me.

Psalms 73:26 - My flesh and my heart faileth: [but] God [is] the strength of my heart, and my portion for ever.

Colossians 3:5 - Mortify therefore your members which are upon the earth; fornication, uncleanness, inordinate affection, evil concupiscence, and covetousness, which is idolatry:

Luke 6:45 - A good man out of the good treasure of his heart bringeth forth that which is good; and an evil man out of the evil treasure of his heart bringeth forth that which is evil: for of the abundance of the heart his mouth speaketh.

Proverbs 23:26 - My son, give me thine heart, and let thine eyes observe my w
 
Yaani Mimi adi usiku nastukaga najiuliza nipo na nani tunabishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…