Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazama sana kwenye fikra kiasi cha kutengeneza uhalisiaMimi huwa najitukana saana karibu asilimia 90 ya siku huwa nazungumza mwenyewe.ninapo tembea naongea saana peke yangu tena kwa sauti kiasi mtu akiwa jirani anaweza kusikia.mkuu hili ni tatzo ama?
oh Thanks Mshana Jr....God bless youPraying for you
Hapana. Sio uchizi. Tena wenye uwezo wa kuongea peke yao huwa na hekima kubwa. Mi kwa kujua umuhimu wa kuongea pekeangu, huwa natafuta sehemu stahiki, nitaongea hapo. Nitajutia. Nitamwakia wa kumwakia.somo zuri
kumbe ni kitu cha kawaida, nilifikiri ni dalili za uchizi
[emoji121] [emoji106] [emoji144] [emoji779] [emoji781]Hapana. Sio uchizi. Tena wenye uwezo wa kuongea peke yao huwa na hekima kubwa. Mi kwa kujua umuhimu wa kuongea pekeangu, huwa natafuta sehemu stahiki, nitaongea hapo. Nitajutia. Nitamwakia wa kumwakia.
[emoji23][emoji23][emoji23]watu mna vituko!Haitakiw kuzid; thus y huo ni mlango; Mlango waweza pitisha kizur au kibaya