Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

[HASHTAG]#Fogoh2[/HASHTAG]
 
Asante Mshana Jr, Louise Hay anasema chagua mawazo ya kuwaza, mwanzo ilikuwa ngumu sana kuelewa vitabu vya mwandishi huyu, ila kadri ninavyojifunza zaidi njikuta naelewa maana ya Mungu na Shetani.
 
Asante Mshana Jr, Louise Hay anasema chagua mawazo ya kuwaza, mwanzo ilikuwa ngumu sana kuelewa vitabu vya mwandishi huyu, ila kadri ninavyojifunza zaidi njikuta naelewa maana ya Mungu na Shetani.
Habari ya kupotea Sara VP unaendeleaje na meditation?
 
Huwa naongea mwenyewe hasa kimya bila kupayuka,
na mara nyingi naongea kingereza tu nikiongea kitu kwa sauti (nimeshindwa kuzuia sauti isitoke nje) nikiwa na hasira na nikiwa mwenyewe lazima kitokee naogopa sana na
sasa niko ktk Hali ya kuzuia hasira maana zinaleta madhara kwa waliosababisha niwe na hasira, Mungu nisaidie nivuke salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…