Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Watu wasiojulikana
 
Me nikiongeaga kingeleza kimoyomoyo naongea vizuri mpaka najiopa,sasa niongee kwenye umati duh kasheshe inaanza hapo,cjuw nafel wap
 
Me nikiongeaga kingeleza kimoyomoyo naongea vizuri mpaka najiopa,sasa niongee kwenye umati duh kasheshe inaanza hapo,cjuw nafel wap
[emoji23][emoji23][emoji23]fanya mazoezi ya kuongea kwa sauti
 
J
Jamani nashukuru kwa michango yenu.Lakini hili ni tatizo limenisumbua muda mrefu na msichukulie kiwepesi.Nitaridhika roho yangu iwapo nitajibiwa kwa dalili aitha za biblia au quran.Mimi sijisemeshi mwenyewe bali sauti hii huniteka nyara na kuongea.Yaani ina ni override.
 
Je ni kama hallucinations? I mean mauzauza ndani ya Kichwa? Sauti isiyokoma kama mwangwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…