Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?


Mimi kwanza naomba utupe maana ya 'kuongea' kwenye mazingira haya ya story hii; ili tuone kama unachotueleza ni sahihi.
 

Ukisoma psychiatry utagundua kuwa kila mtu ni kichaa ila tunatofautiana katika level...
 
Hikitu kama vile punyeto una vuta hisia mwenyewe kama uko na demu kumbe uko pekeyako, ila nasikia hizi ni ishara za kichwa chako kuwa fiti .
 
kwa wale wanao mjua Alinacha - alivyokuwa anapanga maisha yatakvyokuwa biashara yake ikikubali akajikuta anapika teke kapu lenye bidhaa zake na vyote vikafunjika akaanaza kulia mbele ya watu sokoni !! hapo alikuwa anafikiria, anazungumza na anatumia viungo pia kama mikono na miguu
 
lango lipo katika ulimwengu wa roho, hili ni somo pana kidogo, inahitaji ukae na MUNGU vizuri ili ujue ni jinsi gani ya kulinda lango kwa njia ya maombi.
 
Sio shocked tu!Wanakufa daaah!Ni hatari sana mtu wangu yaani hapa naongea na kucheka mwenyewe nikitafakari unayosema mshana........unaunda maumbo unaunda roho za visasi!Halafu nguvu za kulipiza visasi tunazo anayelipizwa kisasi?????????Hapo sasa!..........Unajiundia hofu na mawazo ya kutisha na kushindwa.......Wee kweli kiboko kama sio mchawi basi mwanga kama sio mwanga basi kigagula kama sio kigagula basi mganga aisee!Umenifurahisha sana ila sipingi we are dillusional!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naongea sana peke yangu na enjoy hilo
Mi silifurahii hilo hata kidogo manake watu watakaoniona bila mimi kujua wameniona wataniona chizi!Kuna siku mshikaji alikuja home nikapiga nae stori nje nikaingia ndani one time kurudi nikamwona dirishani [tinted] anajiangalia, anaongea mwenyewe huku akifurahi na kutabasamu kabisa huku anachezacheza aisee!
 
Huwa ninaongea na Roho Mtakatifu sio peke yangu.....wakati mwingine naongea na yule malaika wangu ninaetembea nae kila sehemu usijali Mshana
Jr.
 
sometimes nnapoongea mwenyewe,huwa either naongea kama mimi najiambia kitu mwenyewe au ile sauti nahisi kama mtu mwengine ananishauri kitu au ananisema kwa makosa niliyofanya.
 
sometimes nnapoongea mwenyewe,huwa either naongea kama mimi najiambia kitu mwenyewe au ile sauti nahisi kama mtu mwengine ananishauri kitu au ananisema kwa makosa niliyofanya.
Hiyo sauti nyingine ni sauti yako mwenyewe kumbuka ni mmoja katika watatu, lakini pia ndani yako kuna nguvu hasi na nguvu chanya
Sauti inayokutuma kufanya maovu ni nguvu hasi na sauti inayokukataza ni nguvu chanya
 
Ahsante sana mshana . umenisaidia sana Lakini ninataka kujua kuhusu mambo mawili.
1: imenitokea Mara nyingi sana pale mtu anaponiwazia ama anaponisema huwa ninajitokeza, na kuna wakati wengine hudiriki kunambia, tulikuwa tukicheka kuhusu habari zako nawe ndo unaingia una maisha marefu sana.!!! Je hili ni kweli?? Hubashiri maisha marefu..?
2:
Kabla hujahamia katika nyumba Mpya uliyo jenga ni lipi lapaswa kufanyika.??
3:
Mimi husafiri sana kwenda mikoani mke wangu ni mwanafunzi yupo chuo.. Nyumba yetu haina mtu hivyo huwa naifunga .. Inaweza pita mwezi Mmoja na zaidi.. Ndipo nikarudi.. Ninapoingia Nyumbani Mara ya kwanza huwa nahisi uoga na hofu Fulani, hasa nikiwa peke yangu lakini baada ya Muda ile hali hupotea je hili pia ni kitu gani??

Mwisho: nataka kujua Elimu kuhusu mahali kitovu cha Mtoto hupaswa kutunzwa ama kufukiwa na ni kwanini.....
Pia nywele za kwanza zilizo nyolewa za Mtoto pia zinapaswa kunyolewa na Nani na ni kwanini na hutunzwa ama kutupwa wapi.

Ahsante.
 
Ni topic tamu sana... [emoji28].., namsubiri mtani wangu Mshana atupe majibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…