Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

Ahsante sana mshana . umenisaidia sana Lakini ninataka kujua kuhusu mambo mawili.
1: imenitokea Mara nyingi sana pale mtu anaponiwazia ama anaponisema huwa ninajitokeza, na kuna wakati wengine hudiriki kunambia, tulikuwa tukicheka kuhusu habari zako nawe ndo unaingia una maisha marefu sana.!!! Je hili ni kweli?? Hubashiri maisha marefu..?
2:
Kabla hujahamia katika nyumba Mpya uliyo jenga ni lipi lapaswa kufanyika.??
3:
Mimi husafiri sana kwenda mikoani mke wangu ni mwanafunzi yupo chuo.. Nyumba yetu haina mtu hivyo huwa naifunga .. Inaweza pita mwezi Mmoja na zaidi.. Ndipo nikarudi.. Ninapoingia Nyumbani Mara ya kwanza huwa nahisi uoga na hofu Fulani, hasa nikiwa peke yangu lakini baada ya Muda ile hali hupotea je hili pia ni kitu gani??

Mwisho: nataka kujua Elimu kuhusu mahali kitovu cha Mtoto hupaswa kutunzwa ama kufukiwa na ni kwanini.....
Pia nywele za kwanza zilizo nyolewa za Mtoto pia zinapaswa kunyolewa na Nani na ni kwanini na hutunzwa ama kutupwa wapi.

Ahsante.
No.1- hiyo ni nguvu ya uvutano chanya kati ya roho ni kitu cha kawaida
No.2- mara nyingi ni vema kufanya ibada za utakaso nyumba inapokuwa bila wakazi hupata wageni ambao ni roho zinazotangatanga
Ishu ya kuwa na woga some times ni mind tu lakini hakuna chochote
No.3- vitovu na nywele huchimbiwa shimo na kufukiwa huko . . . kuna makabila yana taratibu zake za kuhifadhi hivyo vitu na hata kunyoa nywele lakini kwa kiasi kikubwa ni mambo tu ya kimila
Kwahiyo kama una mtoto waweza mnyoa tu mwenyewe nyumbani, hizi mila zetu nyingine hazitusaidii lolote
 
Ahsante sana mshana.
 
Unapoongea mwenyewe huwa unaongea na nafsi yako(Your inner you) na nafsi yako ilivyo ndivyo na wewe ulivyo katika mwili wako wa nje,
"Maana aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo" (Mithali 23:7a)
-Nafsi inakula na chakula chake ni vitu unavyoisemesha nafsi whether positive or negative.
-Ukiona mtu ana upendo na amani ya ndani ujue mara nyingi akiongea na nafsi yake anaisemesha upendo na amani.
-Ukiona mtu ana chuki, hasira na mambo mengine kama hayo ujue ndo vitu anavyoisemesha mara nyingi nafsi yake.
-Nafsi yako ni kama Bank Account, ulichodeposit ndicho utakachowithdraw.
-Unapoisemesha nafsi yako negative things about you(especially kuiambia huna uwezo wa kufanya jambo fulani) then unainyong'onyeza nafsi yako na mwisho wa siku itaufanya mwili wako so weak kiasi kwamba utajikuta huwezi kweli kufanya hicho kitu.
-Hata kama jambo ni gumu kiasi gani ukianza kuiambia nafsi yako mara kwa mara kuwa solution ipo bila kuallow negative thoughts then utajikuta umeweza kusolve hiyo situation.

UFANYE NINI KUONDOKANA NA KUISEMESHA NAFSI YAKO NEGATIVES?
Mara nyingi ni ngumu kudiscuss na nafsi yako positive things while you are sarrounded by negatives na pia mara nyingi jamii zetu zimetulelea katika hali ya kuthink negative about us na hali zinazotuzunguka.
-Kumbuka sio rahisi kukaa mwenyewe bila kuwaza, kwa hiyo cha kufanya ni kuhakikisha unafanya replacement ya vitu negative unavireplace na vitu positive.
-Kila jambo unaloliona tafuta vitu positive kuhusu hilo jambo then keep thinking of them hata kama hiyo positive ni 10% tu ya hilo jambo think about that 10% percent soon itakuwa kubwa kuliko ile 90% ya negatives.
-Be optimistic
-kumbuka we always attract two things in our life
i) What we Desire
ii) What we fear
Why?
Because if you desire something you will keep discussing it with youself and if you fear something the same applies you will keep discussing it with your soul and they will surely manifest in your outside you.

"Hatimaye ndugu zangu mambo yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya staha, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote yenye kupendeza, yoyote yenye sifa njema, ukiwapo wema wowote, ikiwapo sifa nzuri yoyote, Yatafakarini hayo."
(Wafilipi 4:8)
 
Unapoongea mwenyewe huwa unaongea na nafsi yako(Your inner you) na nafsi yako ilivyo ndivyo na wewe ulivyo katika mwili wako wa nje,
"Maana aonavyo nafsini mwako ndivyo alivyo" (Mithali 23:7a)

Nice piece of work! Big up Tangopori
 
Thank youuuuuuu, somo nishalihifadhi moyoni
 
Hii ni suluhisho kubwa sana kwa watu wenye stress,jinsi unavyoruhusu vitu vibaya vikae ndani yako ndivyo vinavyokutesa,its very bad,ila ukimjua Mungu atakusaidia pia kuepukana na hayo mateso.Nimeipenda hii
kumbuka we always attract two things in our life
i) What we Desire
ii) What we fear
Why?
Because if you desire something you will keep discussing it with youself and if you fear something the same applies you will keep discussing it with your soul and they will surely manifest in your outside you.
 
Hapana huna haja ya kuogopa kwakuwa hiyo nguvu uliyonayo wewe inafanya kazi positively
Nilishawahi kukutana na dada mmoja nadhani alikuwa na kitu kingine kikubwa na kibaya zaidi huyo akiota kuwa fulani kafa au kapata ajali ujue hilo lazima litokee
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] naomba asiniote kuna binti kafukuzwa kwao kijijini ni binti mdogo akiamka anasema fulani atakufa aipiti muda mwanakijiji anakufa mwisho wa siku alimtabiria mama yake ugonjwa uponi utakufa mama yake aikufika muda akafariki bibi na wajomba wakamfukuza akaja dar na kufanya kazi za ndani niliwai kuwa mdada wangu wakazi nilimuulizaga kisa cha kuja dar ndio akaniadithia nilifikiliaga mchawi kumbe Ni nguvu hii
 
Kuna hii kitu inanitokea mara kwa mara,unakuta naandika msg kabla sijamaliza msg inaingia ni kutoka kwa yule ninaye muandikia ,hii pia imetokea hata kwenye kupiga simu naanza kuandika namba au nina search kwenye phonebook kabla sijamaliza simu inaingia kutoka kwa yule nilietaka kuwasiliana naye,ni mtu ambaye niko naye karibu sana sio kwa watu wengine na hata yeye huwa inamtokea same way,ni mara nyingi sana kama sio mara zote.Hii nayo ni nini wadau?
 
Cha kushangaza ni kwamba unapokuwa katika hali ya kawaida huna msongo wa mawazo ama jambo linalokusumbua mazungumzo yako mwenyewe huwa mazuri na hayatoki nje ya masikio yako yani ni kama unajinong'oneza LAKINI mambo yanapobadilika ukawa na vitu vigumu vinakukabili nafsi yako hukuacha na kujitenga nawe na ndio hapo huongea kwa sauti ili isikie
Ni kwa muktadha huo hujenga daraja kutoka kwako mpaka kwenye nafsi nayo na kupitia hapo mazungumzo yako huenda kuongea na wengine hasa wale waliokuumiza kihisia kwa namna yoyote ile au changamoto za maisha
Wanaoongea pekeyao barabarani hawapo tena ndani yao wako tayari kwenye dunia tatu ya nafsi ya binafsi na ya ulimwengu
Mkuu umenikumbusha mbali sana kwenye psychiatry
 
Kuna hii kitu inanitokea mara kwa mara,unakuta naandika msg kabla sijamaliza msg inaingia ni kutoka kwa yule ninaye muandikia ,hii pia imetokea hata kwenye kupiga simu naanza kuandika namba au nina search kwenye phonebook kabla sijamaliza simu inaingia kutoka kwa yule nilietaka kuwasiliana naye,ni mtu ambaye niko naye karibu sana sio kwa watu wengine na hata yeye huwa inamtokea same way,ni mara nyingi sana kama sio mara zote.Hii nayo ni nini wadau?
Ni nguvu chanya ya uvutano kati ya roho na roho hasa kwa watu mnaopatana!
 
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] naomba asiniote kuna binti kafukuzwa kwao kijijini ni binti mdogo akiamka anasema fulani atakufa aipiti muda mwanakijiji anakufa mwisho wa siku alimtabiria mama yake ugonjwa uponi utakufa mama yake aikufika muda akafariki bibi na wajomba wakamfukuza akaja dar na kufanya kazi za ndani niliwai kuwa mdada wangu wakazi nilimuulizaga kisa cha kuja dar ndio akaniadithia nilifikiliaga mchawi kumbe Ni nguvu hii
Siwez sema ni uchawi ama sio uchawi.

Ukisoma katika 3:7 Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote; bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.

Hapa tunaona kuwa Mungu huwa anatujilisha hata mambo ya siri; huwa anafunulia watu wake

Yohana 16:13 Lakini yeye atakapokuja; huyo Roho wa kweli; atawaongoza awatie kwenye kweli yote;

Kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe; lakini yote atakayo yasikia atayanena; na mambo yajayo atawapasha habari yake

* hapa tunaona Roho Mtakatifu huwa anatupasha hata mambo yajayo na hanen ya kwake bali yale ya Mungu; ni msaidizi wetu.

Kwa upande wa wa Mungu aliye hai ipo hivyo.

Na Mungu ametupa mamlaka ya kufunga na kufungua. Ukisoma

mathayo 16:18 Nami( Yesu) nakuambia; Wewe ndiwe petro ( weka jina lako); na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; ( kanisa ni wewe) wala milango ya kuzimu haitalishinda .

19 Nami nimekupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani; litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani; litakua limefunguliwa mbinguni.

* tunaona hapo kuwa vita vyetu kanisa yaan wewe kuwa ni zidi ya milango ya kuzima na vyote vinavyofanana hayo.

Tuna mamlaka ya kufungua na kufunga ; tuna mamlaka yote ya kubatilisha mambo mabaya yasitokee ktk ulimwengu wa kimwil .

Sababu mtu unapoota hicho kitu kinakua kimetendeka ktk ulimwengu wa roho; na matokeo ya ulimwengu wa kimwil yanatokana na ulimwengu wa kiroho.

Kwahiyo kama huyo binti angejua mapema kuwa mapema inatakiwa atangue abatilishe alichokiona na afunge huo mlango wa mauti na afungue huo mlango wa afya na uzima; mama yake asingekufa sababu tunayo funguo ya Damu Ya Yesu. Hii ni damu ya agano ambayo pia ni sadaka yaani pasaka wetu angekuwa na mamlaka ya kupaka hiyo damu katika hilo langu la mama yake sababu yeye amefanyika kuhani( kama kaokoka)

Ukisoma isaya 7:7 Bwana MUNGU amesema hivi; Neno hili halitasimama wala halitakua.

* unamamlaka yote yakubatilisha yaliyotokea ktk ulimwengu wa roho ili yasijihidhirishe ktk ulimwengu wa kimwili.

Wao wanaingia kwa damu za watu na wanyama lakin sisi tunaingia kwa kutumia damu ya Yesu.

Ktk kambi ya shetani.
Hata wao wana nguvu hizo hizo za kutabir kitu kikatokea; nacho kisikupe tabu sababu shetan anajua kucopy na kufuatisha vya MUNGU.

Kilichomshinda ni kuishika na ku copy ni Damu ya Yesu sababu ule ni uhai wa Mungu ndani yake.

Ukisoma mwanzo 7: 10 Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao; wakafanya hivyo kama BWANA alivyo waambia; Haruni akaibwaga fimbo yake chini mbele ya farao; mbele ya watumishi wake ikawa nyoka.

11. Ndipo farao naye akawaita wenye akili na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao.

13 wakabwaga chini kila mtu fimbo yake nazo zikawa nyoka; lakini Fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.

* Hapo unaona hata shetan ana nguvu za kucopy vitu vya MUNGU aliye hai ; lakini mwisho wa siku MUNGU anabaki kuwa mshindi tu.

Haijalishi mtu kaota kitu na kikatokea inategemea anatoka ktk kambi ipi? Ya Mungu au ya shetani?

Matokeo ya hivyo vitu utaviona kwa mtu yeyote yule.

Kama mtumishi anakutabiria halafu kitu kinatokea isikupe tabu; swal ni nguvu ipi anayo tumia ya Mungu ama siyo; kama ya Mungu utajua tu

Sababu lazima utafanya juhud ya kumtafuta Mungu binafsi; na kuomba mwenyewe; na sio kila kitu unamtegemea Mtu unamuabudu kuliko Mungu mwenyewe

Biblia inasema . amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu;
Amfanya mwanadamu kuwa kinga yake ;Na moyoni mwake amemwacha Bwana ( Yeremia 17:5)

Mungu anataka tumuweke awe wa1 na sio wa mwisho.
Ukishindwa muulize yeye.

Tunahitaji macho ya rohoni zaid na si haya ya nyama.

Inaweza ikawa kuwa huyo bint anatumika na kambi ambayo sio lakin mwenyew hajijui. ( ulimwengu wa roho una vitu vingi sana kuliko tunavyo weza kuhisi sababu kuna vita hapo; kuna malango hapo shetan anataka lango na Mungu aliye hai anataka lango ; sasa inategemea nan kawahi lango ndio maana vita lazima iwepo; lango hilo hilo moja lapitisha kizur na kibaya.

Na kama shetan amekaa ktk hilo lango kwa haki kabisa kupitia huyo binti; Mungu hawez ingilia sababu kuna sheria ktk ulimwengu wa roho.

Ukitaka Mungu aingilie kati. Toba inahitajika ili Mungu amtoe adui kwenye lango ili akae yeye awe dereva; na dereva akiwa Mungu utaona matokeo yake ktk ulimwengu wa mwili.

Kwa imani yangu ni hivyo kwa uchache.
 
Kuongea na nafsi ni kawaida. Naongea sometimes na wakati mwingine napotezea nikiona ni mambo mazito na sio mda wake kuyazungumzia naanza kugonga kalamu au kuimba old songs ilimradi niwe mbali na hilo wazo,
Ingawa sio mda wote yanakuwa majanga lakini mara zingine naongea mazuri nataka nisibughudhiwe kabisa.

Kuna lingine ambalo huwa linanitokea, yaani nimekaa mahali halafu nafsi inaniambia hicho kikombe kinaanguka, haipiti mda mtu anakigonga kinaanguka.
Wakati mwingine to avoid such a mess naondoa hicho kitu.

Kuna siku nimepishana na kichaa nikahisi kitu kinaniambia watch your back kumbe chizi anajiandaa kunitoa ngeu TOOBA
Binadamu tuna mengi ya kujifunza, naamini uwepo wa Mungu na yupo karibu zaidi ya tunavyofikiria
 
Well said,umenifungua hii sehemu ya kuwa shetani huwa ana tabia ya kucopy kazi za Mungu na hii imewafanya watu wengi waingie mkenge wakidhani wanamtumikia Mungu aliye hai kumbe wanamtumikia shetani.Na hata kwenye hiki kipengele ulichosema
unamamlaka yote yakubatilisha yaliyotokea ktk ulimwengu wa roho ili yasijihidhirishe ktk ulimwengu wa kimwili,nimegundua kitu fulani ambacho ni muhimu,kuwa ni kwa imani iliyo hai tunaweza kabisa kuamuru mambo mabaya yasitokee na ikawa hivyo.
 
Kuongea na nafsi ni kawaida. Naongea sometimes na wakati mwingine napotezea nikiona ni mambo mazito na sio mda wake kuyazungumzia naanza kugonga kalamu au kuimba old songs ilimradi niwe mbali na hilo wazo,
Ingawa sio mda wote yanakuwa majanga lakini mara zingine naongea mazuri nataka nisibughudhiwe kabisa.

Kuna lingine ambalo huwa linanitokea, yaani nimekaa mahali halafu nafsi inaniambia hicho kikombe kinaanguka, haipiti mda mtu anakigonga kinaanguka.
Wakati mwingine to avoid such a mess naondoa hicho kitu.

Kuna siku nimepishana na kichaa nikahisi kitu kinaniambia watch your back kumbe chizi anajiandaa kunitoa ngeu TOOBA
Binadamu tuna mengi ya kujifunza, naamini uwepo wa Mungu na yupo karibu zaidi ya tunavyofikiria
Ni kweli-"naamini uwepo wa Mungu na yupo karibu zaidi ya tunavyofikiria"ni kwasababu hatutaki kujifunza neno lake ndio maana tunahisi kuwa Mungu ametuumba na kutuacha mbali sana,kumbe ni kinyume,yuko pamoja na sisi ila hatujui ni jinsi gani tunaweza kumtumia katika maisha yetu ya kila siku.
 
Well said,umenifungua hii sehemu ya kuwa shetani huwa ana tabia ya kucopy kazi za Mungu na hii imewafanya watu wengi waingie mkenge wakidhani wanamtumikia Mungu aliye hai kumbe wanamtumikia shetani.Na hata kwenye hiki kipengele ulichosema
unamamlaka yote yakubatilisha yaliyotokea ktk ulimwengu wa roho ili yasijihidhirishe ktk ulimwengu wa kimwili,nimegundua kitu fulani mabacho ni muhimu,kuwa ni kwa imani iliyo hai tunaweza kabisa kuamuru mambo mabaya yasitokee na ikawa hivyo.
AMEN
 
Ni kweli-"naamini uwepo wa Mungu na yupo karibu zaidi ya tunavyofikiria"ni kwasababu hatutaki kujifunza neno lake ndio maana tunahisi kuwa Mungu ametuumba na kutuacha mbali sana,kumbe ni kinyume,yuko pamoja na sisi ila hatujui ni jinsi gani tunaweza kumtumia katika maisha yetu ya kila siku.
Katika sehemu kubwa ambayo shetani anatufunga ni katika kusoma Neno la Mungu ( Biblia) hapa kuna kila kitu;

Na Mungu huwa anaongea nasi sema hatujui kutofautisha huyu ni Mungu or ni shetani.

Ukisoma Neno la Mungu ( sio kama hadithi bali kwa nia ya kupata kitu) utaona macho ya ndani yanafunguka sana.

Hata hayo mawazo unayojiwazia mwenyewe kwa ktk nafsi yako utajua hii ni Mungu na huyu ni shetani.

Sababu ktk mawazo ndipo kuna mema na mabaya.

Wazo linaanzia ndani baadaye lina dhihirika ktk ulimwengu kimwil.

The power is within u; to say Yes or No.
 
Aisee mie wakati Sijaoa nilikuwa naongea sana na Madona,akanikera nanikamuambia kabisaa mie na yeye basi,akaniomba msamahana sana nikakataa kabisaa,halafu kwa vile rafiki yake ni Britney Spear ndio nikawa nae muda mwingi sana tunaongea.Baada ya kuoa nikawaacha woote.

Na Rihanna angenikuta enzi hizo basi ningeongea nae saana,aiseee

Karibu Zanzibar uone wale wenye Wake Watatu kipindi hiki mpaka kuelekea Sikukuu wanavyoongea na Bill Gate kuhusu nguo za sikukuu kwa watoto.We acha kabisaa mkuu
 
Hapa sija kusoma, ulikuwa ukiongea nao kuhusu habari gani tena
 
Kuongea na nafsi ni kawaida. Naongea sometimes na wakati mwingine napotezea nikiona ni mambo mazito na sio mda wake kuyazungumzia naanza kugonga kalamu au kuimba old songs ilimradi niwe mbali na hilo wazo,
Ingawa sio mda wote yanakuwa majanga lakini mara zingine naongea mazuri nataka nisibughudhiwe kabisa.

Kuna lingine ambalo huwa linanitokea, yaani nimekaa mahali halafu nafsi inaniambia hicho kikombe kinaanguka, haipiti mda mtu anakigonga kinaanguka.
Wakati mwingine to avoid such a mess naondoa hicho kitu.

Kuna siku nimepishana na kichaa nikahisi kitu kinaniambia watch your back kumbe chizi anajiandaa kunitoa ngeu TOOBA
Binadamu tuna mengi ya kujifunza, naamini uwepo wa Mungu na yupo karibu zaidi ya tunavyofikiria
Huu mwili wa nje unaendeshwa na utu wa ndani.

Mtu wako wa ndani ana macho kuliko hayo ya nje.
Mfano hata ukisimama halafu nyuma kuna mtu kasimama; utajua tu unategeuka.

Sababu mtu wa ndani anakua kamuona na anakupa taarifa geuka kuna kitu/ kitu nyuma.

Wakati mwingine kinywa kinaweza nena maneno na yakatokea.

Ndio maana tunatakiwa kujinenea mema na si mabaya hata kunenea watu mabaya hatutakiwi
 
Kwanza lazima nikukumbushe kitu..! Unapoongea pekeyako uwe makini kwakuwa unasikiliza....halafu unajikosokoa halafu unajiuliza na kujijibu ni wazi unaongea na wewe mwenyewe au na wengine kupitia wewe mwenyewe
a2a56dd25eefb7584698bdd41949c9cc.jpg
wewe huko pekeyako uko wanne kwenye jumba moja
1.wewe jina
2.wewe mwili
2.wewe nafsi
4.wewe wewe
Kivipi
1.utambulisho wa jina/Muhuri kiapo cha kutambulika (ID)
2.wewe mwonekano haiba yako sura yako nk nk (AVATAR)
3.wewe nafsi. Uhai na ufahamu(SOUL)
4.Wewe utatu katika moja (me myself and I)
Utambulisho ndio mzizi kisha unakuja umiliki wa vitu na mali na mwili nk, kisha anakuja coordinator wako (ufahamu)halafu unakuja wewe mwenyewe
Kwahiyo unapoongea pekeyako unaongea na wewe mwenyewe
5be5b1dbcb358308879a5a521861d34a.jpg
unaunda maumbo unaunda roho za visasi unafanya mambo machafu au mema unapanga hili na kupangua lile. ..ni wewe mwenyewe huyo uko pekeyako
Matokeo ya dunia tuliyonayo leo hii kwa uzuri ama kwa ubaya kwa huzuni ama kwa furaha kwa kushindwa ama kwa kushinda ni matokeo ya mazungumzo yetu wenyewe kishapo kwenda kwa wengine yakitoka na kupitia kwetu wenyewe
Kumbuka kitu kimoja bila muunganiko wa vitu vitatu hakuna wewe yaani bila utambulisho mwili na roho wewe haupo na hujulikani...tunapozungumzia u mimi hapa ndio penye asili yake
Mwili unapoachana na roho wewe unatoweka na kubaki
1.mwili wako
2.roho yako
3.vitu vyako
4.familia yako
Nk nk
Upo kama wewe wakati mapigo ya moyo yanafanya kazi tofauti na hapo ni habari nyingine
Ni wazi hapo ulipo muda huu umezama kwenye fikra nyingi kuhusu maisha unaongea na wewe mwenyewe unajiumbia hofu na mawazo ya kutisha na kushindwa...unautesa mwili na ufahamu wako bure kwakuwa wewe sio wewe hivyo vitu vikishatengana
Jiulize tena huwa ukiongea pekeyako unaongea na nani?utapata jibu la kushangaza mno
eba2bf1c4f1fef9ac2f7baa0224a954e.gif
Akili yako attracts me alot, you are a gem. Yaani siishi kujifunza kwa kila post yako, be blessed abundantly.
 
Back
Top Bottom