Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
kwa familia zetu hiz ni balaa;kuna siku naambiwa hvy nikazuuuga weeee,na ww pia
manzi kafura aahh niambie uko na nan mpk unashindwa kuongea?,uko kwa dem wako eehh???
 
Kama nimeoa namjbu i love you too.. Ila kama mpenzi tu, namwambia asante, kama mpenz wako mnaaminiana na kuelewana atajiongeza tu upo sehemu mbaya..

NB: Inashauriwa unapoongea mazungumzo binafsi hasa ya mapenzi usiongee mbele za watu, unaweza kutoka hapo kwenda kuongea sehemu nyngne kwa uhuru, kama upo sebuleni na kuna watu wengne, unatoka unaenda hata room
 
Kuna Uzi juzi uliuliza ,," kwann couples za wazungu zinapendeza ??"
Leo mtashuhudia wenyewe majibu humu !!.

BTW ,,binafsi my answer was " love you too ".
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
Kama mume wangu namwambia I love U more and more my King na busu juu..
 
Uzuri ni kuwa huyo mtu atakayeniambia hivyo atakuwa anajulikana na wazazi wangu so nitamjibu i love u too pumpkin
 
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…