Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
SiweziiMbele ya sabrina je?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SiweziiMbele ya sabrina je?!
Basi ww huwa unaongea mambo ya kikubwa sanaSiwezii
Sasa mambo ya i love you mbele ya watoto ya niniBasi ww huwa unaongea mambo ya kikubwa sana
Kwan watt hawafai kusikia wazazi wao wakiambiana i love u?Sasa mambo ya i love you mbele ya watoto ya nini
Tulimtunga majina kibao ajili ya tabia zakee..Duuuh!nimecheka balaa. Ndo amekuwa na majina km hayo.!
Hahaha sasa si ndo inabidi uoneshe urijali wako mbele ya mdingi ili ajue kwamba amezaa jemedariKama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
Heeee pumpkin....tena?!!Uzuri ni kuwa huyo mtu atakayeniambia hivyo atakuwa anajulikana na wazazi wangu so nitamjibu i love u too pumpkin
Kwa kipindi hiki sawa lakini zamani hapo ingekua shida aiseee..Hahaha sasa si ndo inabidi uoneshe urijali wako mbele ya mdingi ili ajue kwamba amezaa jemedari