Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Kama nimeoa namjbu i love you too.. Ila kama mpenzi tu, namwambia asante, kama mpenz wako mnaaminiana na kuelewana atajiongeza tu upo sehemu mbaya..

NB: Inashauriwa unapoongea mazungumzo binafsi hasa ya mapenzi usiongee mbele za watu, unaweza kutoka hapo kwenda kuongea sehemu nyngne kwa uhuru, kama upo sebuleni na kuna watu wengne, unatoka unaenda hata room
Ila kwanini kusiwe na uhuru wa kimaongezi? Inamaana hao wazazi hawajui kwamba kuna stage inafika na unatakiwa uwe na mpenzi?
 
Kuna Uzi juzi uliuliza ,," kwann couples za wazungu zinapendeza ??"
Leo mtashuhudia wenyewe majibu humu !!.

BTW ,,binafsi my answer was " love you too ".
Hahaha kuna watu wameshasema watakimbilia chooni ili kumjibu
 
Inategemea na uelewa wa mzazi...Kama ni hawa wa dot.com basi watafurahi sana ila kama wa analogi usijaribu kusema neno hilo....
 
Uzuri ni kuwa huyo mtu atakayeniambia hivyo atakuwa anajulikana na wazazi wangu so nitamjibu i love u too pumpkin
Dah baada ya kukata simu sijui mtaendelea na maongezi gani na hao wazazi manake lazima kipite kimya cha sekunde kadhaa
 
208ad91c83f0994370c36f6b14d42ce8.jpg


Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Ohoo
 
Mmmmhh kuna day nilimwambia hubby I love u.......akanijibu ooohh mama na baba wapo pembeni angu watasikia
Ulijiskiaje alipokujibu ivo? Ulimuamini kweli?
 
Inategemea na uelewa wa mzazi...Kama ni hawa wa dot.com basi watafurahi sana ila kama wa analogi usijaribu kusema neno hilo....
Hasahasa wazee wa kiume ndio wanakua vichwa ngumu
 
Kwa kipindi hiki sawa lakini zamani hapo ingekua shida aiseee..
Alikua ananichunga kuliko hata dada zangu..
Ila huenda asingetumia udikteta usingefika hapo ulipo
 
Back
Top Bottom