Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Kama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
una mama wa ajabu sana lol, kama ni uzungu amepitiliza
 
Leo inabidi tuseme tu ukweli,
Hivi huwa unajibu vipi endapo Ukiwa umekaa na familia yako unaongea na mpenzi wako kwenye simu, kisha kwenye maongezi akakwambia ''I love you''
[emoji23] [emoji23] stunter bana....ntamjibu asante..
 
Tatizo ni pale unapofanya mambo ya kizungu wakati we si mzungu.. vinginevyo jambo la kawaida sana
 
una mama wa ajabu sana lol, kama ni uzungu amepitiliza
Mama yangu bana Ananipenda na kunidekeza sana..
Akiiona msichana mzuri kanisani/sokoni/Mtaani basi ananipigia simu kua kuna binti kampenda nimfuate..
Alishawahi nitongozea rafiki mtoto wa rafiki yake baba mpaka hv namsubiri atoke chuo nijilie vyanguu
 
una uongo uliochanganyika na ukweli lol
 
una uongo uliochanganyika na ukweli lol
Nakuapia Kwa jina lake yeye ni ukweli kabisa,
Halafu mama yangu kanishinda miaka 16 Tu

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
 
Ni mume wangu halali na ndio mapenzi yetu yalivyo hata yeye nikimwambia nampenda mbele ya wazee wake anajibu
kwahiyo sio mbaya...
Kwahiyo suala la privacy halipo kati yenu?
Au ni sahihi watu wengine kusikia maongezi yenu binafsi yahusuyo mapenzi yenu?
 
Back
Top Bottom