STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
- Thread starter
- #41
Ila kwanini kusiwe na uhuru wa kimaongezi? Inamaana hao wazazi hawajui kwamba kuna stage inafika na unatakiwa uwe na mpenzi?Kama nimeoa namjbu i love you too.. Ila kama mpenzi tu, namwambia asante, kama mpenz wako mnaaminiana na kuelewana atajiongeza tu upo sehemu mbaya..
NB: Inashauriwa unapoongea mazungumzo binafsi hasa ya mapenzi usiongee mbele za watu, unaweza kutoka hapo kwenda kuongea sehemu nyngne kwa uhuru, kama upo sebuleni na kuna watu wengne, unatoka unaenda hata room