Mnada gani vitu viko vile vile kila siku,ila wajinga wapo wanapigwa kama kawa pale😁Hakuna mnada pale Mkuu
Kwanini mkuu?95% wakazi wa dar ni matapeli
Dogo, hao wanatimiza tu masharti ya mganga.Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia
Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa maeneo ya mjini au sokoni huwa unaona kuna kundi limejikusanya wakimzunguka mtu anayetangaza vitu fulani hivi.
Sehemu hiyo inakuwa imetawaliwa na mziki mnene ukipiga kwa sauti na ukichungulia kwa mbali unakuta mbele pale wameweka maTv, subwoofers etc pamoja na vibao kuonesha thamani zao
Kingine ukiwa unapita maeneo hayo kuna watu kazi yao ni kukuita na wewe ujumuike nao tena ukipit karibu sana wanakushika hata mkono na wewe uungane nao
Nimeanza kuwaona kitambo sana tangu napiga kitabu pale Karia KOO wapo maeneo ya Karume TFF sanasana ukiwa unapita tu pale utawaona wapo barabarani kabisa,zamani nilikuwa nawaona sana Manzese pale Bakhresa
Hivi ni nini pale kinachoendelea kwa anayefahamu
Wewe zingatia hivyo ili usiibiwe.Kwanini mkuu?
Saafi 👍Wewe zingatia hivyo ili usiibiwe.
Matapeli, pita nao mbali.Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia
Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa maeneo ya mjini au sokoni huwa unaona kuna kundi limejikusanya wakimzunguka mtu anayetangaza vitu fulani hivi.
Sehemu hiyo inakuwa imetawaliwa na mziki mnene ukipiga kwa sauti na ukichungulia kwa mbali unakuta mbele pale wameweka maTv, subwoofers etc pamoja na vibao kuonesha thamani zao
Kingine ukiwa unapita maeneo hayo kuna watu kazi yao ni kukuita na wewe ujumuike nao tena ukipit karibu sana wanakushika hata mkono na wewe uungane nao
Nimeanza kuwaona kitambo sana tangu napiga kitabu pale Karia KOO wapo maeneo ya Karume TFF sanasana ukiwa unapita tu pale utawaona wapo barabarani kabisa,zamani nilikuwa nawaona sana Manzese pale Bakhresa
Hivi ni nini pale kinachoendelea kwa anayefahamu
Hili la kutumia mziki na makelele kuwafanya watu wasifikiri vizuri hapa umenisanua aisee sikuwaza hili kabisaFoffana, umeuliza swali la msingi sana na ni vizuri sana umelileta hapa! Ni kweli kabisa kama ulivyosema wewe na Mad Max, hao ni matapeli tu.
Kazi yao kubwa ni kuwarubuni watu ili watoe pesa zao kwa ahadi za kushinda zawadi kubwa kama TV au simu, lakini mwisho wa siku unajikuta umepoteza chako bila kupata chochote cha maana. Wanatumia muziki na makelele mengi kuvutia umati na kuwafanya watu wasifikiri vizuri.
Onyo lako la kutokujichanganya nao ni la muhimu sana na linapaswa kuzingatiwa na kila mmoja. Ni rahisi sana kuangukia kwenye mtego wao kama hauko makini.
Asante sana kwa kulileta hili Foffana, umesaidia wengi kujua ukweli na kuepuka hasara!
😂😂😂😂😂😂😂😂95% wakazi wa dar ni matapeli
Matapeli waliohalalishwa?..Yaani unapita zako mtu asiekujua anakushika mkono anasema njoo hapa ushinde TV.
Matapeli hao. Wapo wengine wa karata Ubungo unavoelekea Riverside kutoka Mataa.
Sasa kiongozi ilitakiwa upitie uangalie harafu uje utasanue sisi ambao hatujawahi waona hao watu.Habari za jioni Wakuu
Kwa wale ambao wapo Dar ama wanapafahamu vyema Dar, basi sio wageni na kitu hiki kabisa lazima watakuwa washawahi kuona ama kusikia
Kuna baadhi ya sehemu ukipita hasa maeneo ya mjini au sokoni huwa unaona kuna kundi limejikusanya wakimzunguka mtu anayetangaza vitu fulani hivi.
Sehemu hiyo inakuwa imetawaliwa na mziki mnene ukipiga kwa sauti na ukichungulia kwa mbali unakuta mbele pale wameweka maTv, subwoofers etc pamoja na vibao kuonesha thamani zao
Kingine ukiwa unapita maeneo hayo kuna watu kazi yao ni kukuita na wewe ujumuike nao tena ukipit karibu sana wanakushika hata mkono na wewe uungane nao
Nimeanza kuwaona kitambo sana tangu napiga kitabu pale Karia KOO wapo maeneo ya Karume TFF sanasana ukiwa unapita tu pale utawaona wapo barabarani kabisa,zamani nilikuwa nawaona sana Manzese pale Bakhresa
Hivi ni nini pale kinachoendelea kwa anayefahamu
ChaiMatapeli, pita nao mbali.
🤣🤣🤣🤣Ni waganga wa kienyeji mkuu..🫠