Huwa linaonyesha kiraka kwani rangi mpya ni ngunu kufanana na rangi ya kaleUsipige lote siku ukiamua kuuza ka una mpango huo hakitauzika coz rangi za kurudia hazina maisha marefu...
Kama limechubuka piga rangi huko kuliko chubuka
Huwa linaonyesha kiraka kwani rangi mpya ni ngunu kufanana na rangi ya kale
Ili upige rangi bila puti ni lazima ubadilishe hicho kifaa halafu upige rangi
Kwa mfano Mudguard imevonyea toa hiyo mudguard funga nyingine na piga rangi
Huwa linaonyesha kiraka kwani rangi mpya ni ngunu kufanana na rangi ya kale
Inategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.Huwa linaonyesha kiraka kwani rangi mpya ni ngunu kufanana na rangi ya kale
Mkuu nsaidie hapo kwenye rangi kutokana na namba ya gari naitaji kunyoosha gari yangu iligongaInategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.
Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..
Shida inakuja wabongo tunapenda vya bei rahisi...
Rangi za magari zina namba....kwa mfano gari yangu ni grey na namba yake ya rangi ni K21 G.Mkuu nsaidie hapo kwenye rangi kutokana na namba ya gari naitaji kunyoosha gari yangu iligonga
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Mkuu nsaidie hapo kwenye rangi kutokana na namba ya gari naitaji kunyoosha gari yangu iligonga
Thanks nmekupata vizuri[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1517723
Ulipaka rangi sehemu gani? Kwa kiasi gani mkuu?Inategemea pia umepiga rangi ya gharama gani. Nina gari lenye miaka sita, last week nimerudia rangi bumper la mbele na nyuma pmoja na mlango wa buti.
Sijisifii sijaona tofauti kwa sababu tulinunua rangi kutokana na namba ya rangi ya gari kwa wahindi..
Shida inakuja wabongo tunapenda vya bei rahisi...
Arusha kuna garage moja ipo Sinon. Nilipiga bumper la nyuma na mbele pamoja na mlango wa boot kwa 200kUlipaka rangi sehemu gani? Kwa kiasi gani mkuu?
Rangi inafanana na za sehemu ingine mkuu? Ni rangi gani i.e blue, nyeupe au nyeusi..?Arusha kuna garage moja ipo Sinon. Nilipiga bumper la nyuma na mbele pamoja na mlango wa boot kwa 200k
Itakuwa na mabaka(rangi haitafanana)Sasa ivi nimeapa sitapeleka gari kupiga rangi lote.. kama sehemu imechubuka napiga hapo tuu.
Ndiyo mkuu....inafanana 100% hakuna tofauti yoyote..Rangi yangu ni Kijivu K21..Rangi inafanana na za sehemu ingine mkuu? Ni rangi gani i.e blue, nyeupe au nyeusi..?
Kwaio mkuu unaweza kwenda na hio color code kwa mchina na akakutolea hivyo hivyo au? Maana mwaka 2013 jamaa aliiangalia gari rangi yake kuja kuchanganya rangi ikawa tofauti kidogo na ya sehemu zingine...kuna sehemu huku dar wachina wanachanganya rangi..Ndiyo mkuu....inafanana 100% hakuna tofauti yoyote..Rangi yangu ni Kijivu K21..
Kuna raha sana ya kupaka rangi kwa namba japo inakamua wallet...
Aisee, karangi kidoogo hakafiki hata robo lita tumenunua zaidi ya 120k.[emoji26][emoji26][emoji26]
Lakini rangi hiyo kuna sehemu wanauza mpaka elfu 50..
Mkuu ukitumia colour code kitu kimatoka vile vile...bora tu fundi naye awe mzuri na mashine yake ya ku spray iwe na uhakika.Kwaio mkuu unaweza kwenda na hio color code kwa mchina na akakutolea hivyo hivyo au? Maana mwaka 2013 jamaa aliiangalia gari rangi yake kuja kuchanganya rangi ikawa tofauti kidogo na ya sehemu zingine...kuna sehemu huku dar wachina wanachanganya rangi..
Sasa si ungewashauri waende wakanunue kwa 50,000 ungesavu 70,000 nzima.Aisee, karangi kidoogo hakafiki hata robo lita tumenunua zaidi ya 120k.[emoji26][emoji26][emoji26]
Lakini rangi hiyo kuna sehemu wanauza mpaka elfu 50..